Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 8,795
- 8,704
Vitoto hivyo vinavyolalamika, ajira ngumu hela hamna na wao wanatafuta mishangazi ya kuwalea kwaninj wasilalamike, anayejitambua huwezi kumsikia akilalamika labda achezewe faulo, au goli la offside hapo atalalamikaKumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia
Kwa upande wangu me naona malalamiko haya hayana mantiki yoyote coz kiasili mwanamke hajaumbwa kutoa . Asili ya mwanamke ime mshape mwanamke kuhudumiwa na kutunzwa
Hata kama mwanamke anafanya kazi na pengine ana kipato kukuzidi kamwe kwenye akili yako usije ukapigia mahesabu pesa yake huko ni kupoteza muda na kutafuta kudharaulika
Tutalalamika sana kwamba wanawake ni selfish lakini hatutaweza kubadilisha kitu. Acha mwanamke atoe kwa moyo wake na sio kum-bebesha majukumu
Mwanaume ukitaka kuingia kwenye serious R/ship bhac akilini mwako ujue unaingia kwenye majukumu hakuna mahusiano yatadumu kama utakua legelege
Jambo la msingi kwa sisi wanaume ni kufanya kazi kwa bidii sana ili kulinda status yako kama mwanaume na pia kwa ajili ya kuweza kuhudumia familia na kwa maendeleo yako binafsi
Malalamiko huku mitandaoni hayatasaidia kitu hatuwezi kubadilisha kitu na wala kupingana na nature