Wanaume ifike mahali tukubali ukweli hatuwezi kupingana na asili, Mwanamke ni lazima ahudumiwe

Kwenye ndoa kila kitu nagawana na mke wangu mpaka mshahara wake.Sisi ni kitu kimoja so tunahudumiana.Nje ya hapo hakuna wa kumuhudumia sababu hatufungwi na chochote.So wa kuhudumiwa ni mke na sio wanawake wengine
Kuhudumiana ndio term sahihi zaidi, ndoa ni jambo kubwa wala sio bed of roses. Kwenye ndoa ya kweli kuna upendo na upendo ni two way traffic.
 
Kama yupo nyumbn inabd iwe hvyo ila kama anaend kazn jua huyo.mwanamke anakunyima haki za msingi ambazo ilibd atekelez kwenye familia yake.
Mwanamke anaend kaZn
Atakupa vle unatak
Utakula chakula tuu cha bk3
Nguo zako utafua
Watoto wako watalelew ovyo ovyo
N.k

Hapo inabd atoe % fulan kwaajili ya familia katk kpato chake
 
Mtoa mada katika karne hii ukitaka kila jambo tufanye kwa kuangalia asili tutafeli sana. kwa sababu asili inasema mwanaume atafute kwa jasho na mwanamke azae kwa uchungu.. ila leo hii mwanamke nae anatafuta kwa jasho, manake anafanya kitu ambacho kiasili inabidi afanye mwanaume..

leo hii mwanaume anashindana na mwanamke kwenye soko la ajira kupata kazi, soko ambalo tukifata asili inabidi liwe na ushindani kati ya mwanaume na mwanaume ila sio mwanaume na mwanamke.

mwanamke siku hizi anapewa kipaumbele katika kuajiriwa, mwanaume anapigwa bench, bado unataka tufuate asili?

ukweli ni kwamba mpaka leo hii wanawake kwa wanaume hatujajua jinsi ya kujiadjust tunapokua kwenye mahusiano watu wawili ambao wote tunapata kipato.

adjustment ya majukumu lazima itokee pindi mwanaume anapokua na mwanamke mfanyakazi au mfanyabiashara sababu kitendo cha mtu kujihusisha na shughuli yoyote ya kiuchumi manake katoka katika kundi la WATEGEMEZI.

asili inasema mwanamke ndie mwenye jukumu la kulea watoto na kuitunza nyumba kwa ujumla. huyu mwanamke anapovua hili jukumu na kumvika mwanamke mwenzake ambae ni HOUSE GIRL , na kujivika jukumu la kiume la KUFANYA KAZI, tayari ameshajivika na majukumu ya kuihudumia familia yake aloijenga na mumewe.

tukifuata akili ya mleta uzi, tujiulize hivi msaada wa mwanamke ni upi kwenye familia kama mwanamke halei watoto wala hachangii chochote kwenye familia, kazi yake ni kwenda ofisini na kurudi nyumbani kuuliza watoto wanaendeleaje. yani anauliza swali ambalo baba inabidi aliulize.

tukisema tukubali mwanamke MFANYAKAZI pesa zake zisihusike kuendesha familia, tujiulize ni nani wanaotakiwa kunufaika na hizo pesa zake?

tujiulize pia kama hayupo kwenye malezi ya watoto wala hayupo kwenye gharama za uendeshaji wa familia, huyu mwanamke yupo wapi ambapo panamuhusu zaidi?


KAMA MWANAUME ANAFANYA KAZI ILI AIHUDUMIE FAMILIA, MWANAMKE ANAFANYA KAZI KWA DHUMUNI LIPI?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kabisa, kimila zetu sisi mwanamke kwetu ni sawa na kiwanda. Kiwanda hicho kazi yake ni kuzalisha nguvu kazi yani watoto pamoja na benefits zingine zinazokuja na huyo mwanamke. Ukipata mwanamke mwenye elimu maana yake elimu yake itakunufaisha mumewe na watoto kwa ujumla. Hivyo hivyo ukipata mwanamke goigoi basi utahenyeka nae pamoja na kero zote anazokuja nazo sababu ndio chaguo lako.
 
Halafuu unajitahidi kweli kuwafafanuliaa vizurii Ni vile tuu hawataki kuelewaaa....wanawake wanaojielewa hawezi muachia mumewe majukumu yote Kama naye anakipato kinachoruhusuu...Ila isiwee sheriaa sasaa...na always ikiwaa ni utaratibu lzma Mambo ya backfire tuu...wanaume timizeni majukumu yenuu kwa uwezo wenu.
Je nyie wanawake mnatimiza majukumu yenu ?! Au ndio mnakazi ya kulea kwa bluetooth, mkipiga simu "Mtoto amekunywa maziwa ?!"

Mnavyoshupaa kutuambia tutimize majukumu yetu na nyie timizeni majukumu yenu ya asili kujifanya madume jike haitawasaidia
 
Yeah thank you .....

Nafkir wanaelewa ila hawataki kukubaliana na ukweli
ukweli upi, kwamba unataka wanaume waendelee kubaki wanaume na majukumu yao ya asili lakini wanamake waache majukumu yao ya asili eti kisa utandawazi, what an example of a truelly stupid double standard.

Wanaume wabaki kua wanaune lakini wanawake wawe majume jike, Hell what kind of a sick mindset is that ?
 
Nimekuelewa mantiki yako vizuri kabisa

Lakini bado nasisitiza bila kuamua kukubaliana na uhalisia kuwa mwanamke ni wa kuhudumiwa tutaendelea kubishana na kulalamika huku mitandaoni, Migogoro ya mahusiano haitaisha

Swala la utandawazi limebadili baadhi ya mambo lakini asili itabaki kuwa asili

We hushangai watoto wa kisure wakiwatoa walamba lips (nice guys) wao Out huwapa hela wao ndo waonekane wana pay bill

Hii ni kutokana na asili
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hio ni kawaida kwa wakina Michelle, Loreen au Scarlet ila usitegemee Kinoge,Sofia au Tabu akulipie bills.
 
ukweli upi, kwamba unataka wanaume waendelee kubaki wanaume na majukumu yao ya asili lakini wanamake waache majukumu yao ya asili eti kisa utandawazi, what an example of a truelly stupid double standard.

Wanaume wabaki kua wanaune lakini wanawake wawe majume jike, Hell what kind of a sick mindset is that ?
Sijakuelewa mkuu go deep kidogo
 
Wanawake watakupinga mkuu katika hoja hii
Ndio ukweli ambao hawautaki. Mkuu huwezi kuwa wewe unaumia full time ili kumfurahisha yeye. She has also to make sure nawewe anakufurahisha in the same manner. Kama unampa zawadi na yeye awe na utaratibu huo. Kama unampa hela nayeye zake akupe. Kama unaombaga mzigo na yeye awe anaomba kuliwa. Huo ndio Upendo wa kweli.

Wanawake wanahisi upendo ni wao kupewa tu in exchange of mbunye.
 
Back
Top Bottom