Bless mom
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 765
- 1,571
Sasa jamani tusifanyee kazi?...Ni Kama vile wanaume wasiojielewaa pia wapoo na wanawake wasiojielewaa piaa wapoo.. oeni wa kufanana nao muone Kama mambo hayaendi..Nakubaliana na wewe asilimia 100 wanaume wapaswa ku play part yao. Je vipi kuhusu madumejike yasiotaka kutekeleza wajibu wao wa asili ?!
Mwanamke anaejielewa ni yule anaetimiza majukumu yake ya asili. Nyie wa kupiga simu "Amekunywa maziwa ?!" Huku mkitembeza makalio maofisini Sio wanawake ni jinsia mpya ya madumejike zao la feminism ambao hakuna mwanaume mwenye akili ataoa hizo takataka kwanza haya madumejike yana drama nyingi, ujuaji mwingi.