Wanaume ifike mahali tukubali ukweli hatuwezi kupingana na asili, Mwanamke ni lazima ahudumiwe

Halafuu unajitahidi kweli kuwafafanuliaa vizurii Ni vile tuu hawataki kuelewaaa....wanawake wanaojielewa hawezi muachia mumewe majukumu yote Kama naye anakipato kinachoruhusuu...Ila isiwee sheriaa sasaa...na always ikiwaa ni utaratibu lzma Mambo ya backfire tuu...wanaume timizeni majukumu yenuu kwa uwezo wenu.
Bila sheria kama una upendo na mumeo utaweka mzigo mezani. Baba flani mi nishapokea mzigo wangu tufanyeje huu mwezi. Mnaweka malengo na utekelezaji sawa.
 
Yaani bado watu wanashikilia mentality za kizamani, ukifuata asili kwa kipindi hiki utaumia. Kama mwanamke anafanya kazi basi na mchango wake uonekane kwenye familia. La sivyo akae nyumbani ili ahudumiwe.
Hakika, kama anafanya kazi afu ati chake ni chake huku watoto wanahudumiwa na house girl si ukichaa huo. Anafanya kazi ya nini kama anahudumiwa kila kitu umalaya tu unawasumbua kuzungusha makalio maofisini.
 
Wanaopinga na kupiga kelele ni wavulana na mashoga na ukifwatilia hata kipato cha kuhudumia familia hawana na hata kama wanacho bado hawahudumii familia,mtaani hali ni tofauti sana wanawake wanahudumia zaidi familia kuliko wanaume.
 
Ndio ukweli ambao hawautaki. Mkuu huwezi kuwa wewe unaumia full time ili kumfurahisha yeye. She has also to make sure nawewe anakufurahisha in the same manner. Kama unampa zawadi na yeye awe na utaratibu huo. Kama unampa hela nayeye zake akupe. Kama unaombaga mzigo na yeye awe anaomba kuliwa. Huo ndio Upendo wa kweli.

Wanawake wanahisi upendo ni wao kupewa tu in exchange of mbunye.
Mkuu ngoja @To yeye 🤣🤣🤣 aje aone maoni yako humu 🤣🤣🤣🤣🤣Bado hajaamka 🤣🤣🤣.
 
Bila sheria kama una upendo na mumeo utaweka mzigo mezani. Baba flani mi nishapokea mzigo wangu tufanyeje huu mwezi. Mnaweka malengo na utekelezaji sawa.
Huyo ndio wife material sasa.

Na ndoa ambayo wanafanya hivi huwa wanakuwa na maendeleo sana na upendo kati ya mume na mke huwa unaongezeka. Wanakuwa na umoja sana

Hawa wa changu ni changu cha mume cha wote ni wabinafsi na wachoyo

Hata yule mke mwema anayetajwa kwenye maandiko hakuwa mbinafsi alipiga kazi alichokipata alikitumia pia kusaidia familia
 
Huyo ndio wife material sasa.

Na ndoa ambayo wanafanya hivi huwa wanakuwa na maendeleo sana na upendo kati ya mume na mke huwa unaongezeka. Wanakuwa na umoja sana

Hawa wa changu ni changu cha mume cha wote ni wabinafsi na wachoyo

Hata yule mke mwema anayetajwa kwenye maandiko hakuwa mbinafsi alipiga kazi alichokipata alikitumia pia kusaidia familia
Yeah sasa matapeli wengi ni wabinafsi na wachoyo hawapendi kusikiaga hili. Wanataka wakajenge kwao kisirisiri ili ukipungukiwa nguvu za kiume au kupata changamoto kazini waombe talaka wakalee vibenteni.
 
Yeah sasa matapeli wengi ni wabinafsi na wachoyo hawapendi kusikiaga hili. Wanataka wakajenge kwao kisirisiri ili ukipungukiwa nguvu za kiume au kupata changamoto kazini waombe talaka wakalee vibenteni.
Hao wachoyo na wabinafsi wabaya sana wewe kwako na kwenu hamsogei kimaendeleo ila yeye kwao wananeemeka nawewe kidume umekaa kung'ang'ania hela za mwanamke ni zake
 
Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia

Kwa upande wangu me naona malalamiko haya hayana mantiki yoyote coz kiasili mwanamke hajaumbwa kutoa . Asili ya mwanamke ime mshape mwanamke kuhudumiwa na kutunzwa

Hata kama mwanamke anafanya kazi na pengine ana kipato kukuzidi kamwe kwenye akili yako usije ukapigia mahesabu pesa yake huko ni kupoteza muda na kutafuta kudharaulika

Tutalalamika sana kwamba wanawake ni selfish lakini hatutaweza kubadilisha kitu. Acha mwanamke atoe kwa moyo wake na sio kum-bebesha majukumu

Mwanaume ukitaka kuingia kwenye serious R/ship bhac akilini mwako ujue unaingia kwenye majukumu hakuna mahusiano yatadumu kama utakua legelege

Jambo la msingi kwa sisi wanaume ni kufanya kazi kwa bidii sana ili kulinda status yako kama mwanaume na pia kwa ajili ya kuweza kuhudumia familia na kwa maendeleo yako binafsi

Malalamiko huku mitandaoni hayatasaidia kitu hatuwezi kubadilisha kitu na wala kupingana na nature
Jogoo halalamiki anapompatia mtetea chakula na kumfunika na mbawa wake,pia swala dume anamiliki majike 30 kazi yake Ni kuyatafutia malisho tu Basi na kula mbususu
 
Ukipata mke asiyekupenda ambaye amekupendea pesa zako huwezi kuona msaada wake.

Mke anayekupenda na ambaye ni wife material utaona jinsi anavyomuunga mkono mumewe na kumsaidia kwa hali na mali ili familia yenu iwe na maisha bora
Utapataje mke asiyekupenda ukiwa na akili titamu

Mnashindwa kusimamia position zenu mnasingizia hujapata anayekupenda
 
Back
Top Bottom