Wanaume ifike mahali tukubali ukweli hatuwezi kupingana na asili, Mwanamke ni lazima ahudumiwe

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,282
7,379
Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia

Kwa upande wangu me naona malalamiko haya hayana mantiki yoyote coz kiasili mwanamke hajaumbwa kutoa . Asili ya mwanamke ime mshape mwanamke kuhudumiwa na kutunzwa

Hata kama mwanamke anafanya kazi na pengine ana kipato kukuzidi kamwe kwenye akili yako usije ukapigia mahesabu pesa yake huko ni kupoteza muda na kutafuta kudharaulika

Tutalalamika sana kwamba wanawake ni selfish lakini hatutaweza kubadilisha kitu. Acha mwanamke atoe kwa moyo wake na sio kum-bebesha majukumu

Mwanaume ukitaka kuingia kwenye serious R/ship bhac akilini mwako ujue unaingia kwenye majukumu hakuna mahusiano yatadumu kama utakua legelege

Jambo la msingi kwa sisi wanaume ni kufanya kazi kwa bidii sana ili kulinda status yako kama mwanaume na pia kwa ajili ya kuweza kuhudumia familia na kwa maendeleo yako binafsi

Malalamiko huku mitandaoni hayatasaidia kitu hatuwezi kubadilisha kitu na wala kupingana na nature
 
I think mke akiwa mshahara wake na mume akiwa na mshahara wake, mwanaume anatakiwa agharamie chakula, maji na sehemu ya kulala(kupanga au kujenga) ila Kwa upande wa urembo na kuwahudumia wazazi wa upande wa mwanamke, mshahara wa mwanamke ndo ufanye hiyo kazi unless kama Hana ajira maana wazazi wake ndo waliomsomesha so huna majukumu nao.
 
Nasema hv

Mwanamke ni lazima Ahudumiwe

Ukishaanza kumbebesha mizigo ushishangae na yeye akitafuta mahali pa kuitua ndo ile unashangaa mara aanza kuchepuka ili kupata ahueni

Usikwepe majukumu yako mkuu
 
Familia, wajibu wa mume
Hakuna sehemu ya Maandiko yanayosema.umtunze babamkwe au mamamkwe, haipo.
Kwa familia ya mke na watoto ni wajibu wa mwanaume kuwatunza, isitoshe Biblia iliandikwa enzi zile ambazo hakukuwa na haki sawa kama Sasa, mwanamke alikuwa hapewi nafasi katika sekta muhimu.
Siku hizi mambo yamekuwa tofauti, unamkuta mke ana mshahara mzuri tu, anataka wewe uhusike kuwatunza wazazi wake, hiyo haipo.
Pesa Yake inaenda wapi?
 
Wengine tumebahatika wake zetu wana vipato vikubwa sana na mimi si haba, Life is very Beautfull. 5m inalala ndani kwa mwezi, Mke ana upendo pesa nakabidhiwa kwenye maendeleo maisha yanaenda poa tuu.

Ila nakubaliana na wewe kuwa mwanamke anatakiwa kutunzwa hata kama pesa ni zake
 
Wengine tumebahatika wake zetu wana vipato vikubwa sana na mimi si haba, Life is very Beautfull. 5m inalala ndani kwa mwezi, Mke ana upendo pesa nakabidhiwa kwenye maendeleo maisha yanaenda poa tuu.

ila nakubaliana na wewe kuwa mwanamke anatakiwa kutunzwa hata kama pesa ni zake
For sure mkuu

Ikitokea ametoa bhac iwe ni kwa moyo wake sio by force
 
I think mke akiwa mshahara wake na mume akiwa na mshahara wake, mwanaume anatakiwa agharamie chakula, maji na sehemu ya kulala(kupanga au kujenga) ila Kwa upande wa urembo na kuwahudumia wazazi wa upande wa mwanamke, mshahara wa mwanamke ndo ufanye hiyo kazi unless kama Hana ajira maana wazazi wake ndo waliomsomesha so huna majukumu nao.
Kabisa dea
 
Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia

Kwa upande wangu me naona malalamiko haya hayana mantiki yoyote coz kiasili mwanamke hajaumbwa kutoa . Asili ya mwanamke ime mshape mwanamke kuhudumiwa na kutunzwa

Hata kama mwanamke anafanya kazi na pengine ana kipato kukuzidi kamwe kwenye akili yako usije ukapigia mahesabu pesa yake huko ni kupoteza muda na kutafuta kudharaulika

Tutalalamika sana kwamba wanawake ni selfish lakini hatutaweza kubadilisha kitu. Acha mwanamke atoe kwa moyo wake na sio kum-bebesha majukumu

Mwanaume ukitaka kuingia kwenye serious R/ship bhac akilini mwako ujue unaingia kwenye majukumu hakuna mahusiano yatadumu kama utakua legelege

Jambo la msingi kwa sisi wanaume ni kufanya kazi kwa bidii sana ili kulinda status yako kama mwanaume na pia kwa ajili ya kuweza kuhudumia familia na kwa maendeleo yako binafsi

Malalamiko huku mitandaoni hayatasaidia kitu hatuwezi kubadilisha kitu na wala kupingana na nature
Listen homie,tena sikiliza kwa makini.Hatukatai kuhudumia wanawake,ila hatuwezi kuhudumia hoe,s na digger,s na femenist my bro.Mwanamke hana cha kuoffer mwanaume zaidi ya watoto.So tutahudumia mwanamke aliyetuzalia watoto.
 
Back
Top Bottom