Wanaume ifike mahali tukubali ukweli hatuwezi kupingana na asili, Mwanamke ni lazima ahudumiwe

Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia

Kwa upande wangu me naona malalamiko haya hayana mantiki yoyote coz kiasili mwanamke hajaumbwa kutoa . Asili ya mwanamke ime mshape mwanamke kuhudumiwa na kutunzwa

Hata kama mwanamke anafanya kazi na pengine ana kipato kukuzidi kamwe kwenye akili yako usije ukapigia mahesabu pesa yake huko ni kupoteza muda na kutafuta kudharaulika

Tutalalamika sana kwamba wanawake ni selfish lakini hatutaweza kubadilisha kitu. Acha mwanamke atoe kwa moyo wake na sio kum-bebesha majukumu

Mwanaume ukitaka kuingia kwenye serious R/ship bhac akilini mwako ujue unaingia kwenye majukumu hakuna mahusiano yatadumu kama utakua legelege

Jambo la msingi kwa sisi wanaume ni kufanya kazi kwa bidii sana ili kulinda status yako kama mwanaume na pia kwa ajili ya kuweza kuhudumia familia na kwa maendeleo yako binafsi

Malalamiko huku mitandaoni hayatasaidia kitu hatuwezi kubadilisha kitu na wala kupingana na nature
Vitoto hivyo vinavyolalamika, ajira ngumu hela hamna na wao wanatafuta mishangazi ya kuwalea kwaninj wasilalamike, anayejitambua huwezi kumsikia akilalamika labda achezewe faulo, au goli la offside hapo atalalamika
 
Yeah mkuu

Wanaume wanaojitambua huwez kuta hata siku moja analalamika habari za mke kuto ku contribute kwenye familia ...
Mke ku contribute ni Apende mwenyewe lakini sio jukumu lake

Ukianza kushindana na mwanamke kutaka muwe sawa kwenye kuhudumia familia ujue kuna nut zishaanza kulegea kichwani kwako
 
Ni kweli mkuu fedha ya mwanamke ni ya kwakwe mwenyewe.
Mimi nimemuomba aniazime M7 nikuze mtaji kaninyima na gubu juu.Wakati yeye bank account yangu ana uhuru nayo 24hrs.Na tuliapa mbele ya kadamnasi sisi ni kitu kimoja,mwili mmoja na kila kitu tutashare.Au sikuelewa pale padri aliposema sisi ni mwili mmoja isipokua kwenye hela kila mtu ana mwili wake🤣🤣
 
Kumekua na nyuzi nyingi za baadhi ya wanaume wakiwa wanalalamika wanawake wa kizazi hiki licha na wao kujishughulisha hawana mchango wowote wa kifedha kwenye familia

Kwa upande wangu me naona malalamiko haya hayana mantiki yoyote coz kiasili mwanamke hajaumbwa kutoa . Asili ya mwanamke ime mshape mwanamke kuhudumiwa na kutunzwa

Hata kama mwanamke anafanya kazi na pengine ana kipato kukuzidi kamwe kwenye akili yako usije ukapigia mahesabu pesa yake huko ni kupoteza muda na kutafuta kudharaulika

Tutalalamika sana kwamba wanawake ni selfish lakini hatutaweza kubadilisha kitu. Acha mwanamke atoe kwa moyo wake na sio kum-bebesha majukumu

Mwanaume ukitaka kuingia kwenye serious R/ship bhac akilini mwako ujue unaingia kwenye majukumu hakuna mahusiano yatadumu kama utakua legelege

Jambo la msingi kwa sisi wanaume ni kufanya kazi kwa bidii sana ili kulinda status yako kama mwanaume na pia kwa ajili ya kuweza kuhudumia familia na kwa maendeleo yako binafsi

Malalamiko huku mitandaoni hayatasaidia kitu hatuwezi kubadilisha kitu na wala kupingana na nature

Ndoa ni utapeli, sifanyi huo ujinga,
 
Mkuu simamia majukumu yako kikamilifu kwanza
Ndo uje na hayo malalamiko yako
Acha akili za kimama mkuu, wanawake ndio wana hulka ya kubeza wanaume ati "simamia majukumu yako" aliekwambia sisimamii majukumu yangu ni nani ?! Au family yangu inahudumiwa na wewe ?!

Sio tu kusimamia bali NATIMIZA majukumu yangu ipasavyo. Labda wewe nikuulize unapata nini kua feminist la kiume ?!
 
Hii pointi mkuu
 
I think mke akiwa mshahara wake na mume akiwa na mshahara wake, mwanaume anatakiwa agharamie chakula, maji na sehemu ya kulala(kupanga au kujenga) ila Kwa upande wa urembo na kuwahudumia wazazi wa upande wa mwanamke, mshahara wa mwanamke ndo ufanye hiyo kazi unless kama Hana ajira maana wazazi wake ndo waliomsomesha so huna majukumu nao.
 
Nasema hv

Mwanamke ni lazima Ahudumiwe

Ukishaanza kumbebesha mizigo ushishangae na yeye akitafuta mahali pa kuitua ndo ile unashangaa mara aanza kuchepuka ili kupata ahueni

Usikwepe majukumu yako mkuu
Hakuna anaepinga kumuhudumia na kumtumza mkewe, ila mke anapohudumiwa nayeye atimize majukumu yake ambayo ni kulea.

1. kuna mantiki gani kuhudumia lidume jike ambalo kutwa linazungusha mat*ako maofisini huku watoto wanalelewa na house girl ?!

2. Kuna mantiki gani kuoa lidume jike ambalo linafanya majukumu kama yangu ?! Ebo
 
Yeah mkuu

Wanaume wanaojitambua huwez kuta hata siku moja analalamika habari za mke kuto ku contribute kwenye familia ...
Mke ku contribute ni Apende mwenyewe lakini sio jukumu lake

Ukianza kushindana na mwanamke kutaka muwe sawa kwenye kuhudumia familia ujue kuna nut zishaanza kulegea kichwani kwako
Na wanamake wanaojitambua hufanya lipi kati ya haya, 1. Kutimiza wajibu wao wa kulea au 2. Kutelekeza watoto kwa mahouse girl wao kutwa wakiwa maofisini na wanachokipata hakionekani ?!

Alafu mbona haujibu maswali yangu ewe mwakilishi wa wanawake aka feminist wa kiume ?
 
Mkuu ukishaingia kwenye mahusiano hata kabla ya ndoa Automatically umeingia kwenye majukumu coz katika vitu ambavyo wanawake wanavipa consideration kabla hajakubali kuolewa ni kuona kama huyo mwanaume anaweza kubeba majukumu ya kifamilia na kumtunza

Sasa ukisema anayepaswa kuhudumiwa ni mke huku kwenye mahusiano ya kawaida kabla ya ndoa utakuwa huna vigezo vya kumshawishi mwanamke akubali kuwa mke wako
Ndio tunaangalia kuanzia mahusiano kama haupo responsible kipindi hicho huwezi nishawish utakua responsible ukinioa
 
Je nyie wanawake mnatimiza majukumu yenu ?! Au ndio mnakazi ya kulea kwa bluetooth, mkipiga simu "Mtoto amekunywa maziwa ?!"

Mnavyoshupaa kutuambia tutimize majukumu yetu na nyie timizeni majukumu yenu ya asili kujifanya madume jike haitawasaidia
Mtasemaa yoteee...lakini ukweli unabaki pale pale play your part...mwanamke anayejielewaa hawezi kukuachiaa majukumu yote peke yakooo..
 
Mtasemaa yoteee...lakini ukweli unabaki pale pale play your part...mwanamke anayejielewaa hawezi kukuachiaa majukumu yote peke yakooo..
Nakubaliana na wewe asilimia 100 wanaume wapaswa ku play part yao. Je vipi kuhusu madumejike yasiotaka kutekeleza wajibu wao wa asili ?!

Mwanamke anaejielewa ni yule anaetimiza majukumu yake ya asili. Nyie wa kupiga simu "Amekunywa maziwa ?!" Huku mkitembeza makalio maofisini Sio wanawake ni jinsia mpya ya madumejike zao la feminism ambao hakuna mwanaume mwenye akili ataoa hizo takataka kwanza haya madumejike yana drama nyingi, ujuaji mwingi.
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom