Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.

.
.
.

Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .N

2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo S

3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..

4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.

5.Jari hisia zake..

Amini usiamini Wanaume wengi huchangia Mwanamke kuchange Tabia na kuamua Liwalo na liwe.Badilikeni iyo itafanya positive Behavior itokee upande wa pili.Una wivu huku hujui kutake Care???Just Change guys.You have that power!!!

Umeandika vema.

Ikiwa mapenzi yote haya yanatoka kwa mwanaume, jukumu la mwanamke kwenye uhusiano huu wa kimapenzi/kingono litakuwa ni nini? Ama ku-dyudyuka tu?
 
Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.

Asikwambie MTU..Wanaume walio wengi Wapo Radhi kutoa Uhai wa MTU Hata kujeruhi wanapoona mpenzi au mke Kasaliti.

Huumia sana..NA Ni wagumu kusamehe jambo hili likitokea tofauti kidogoo NA jinsia ya kike.Sasa Cha ajabu Wanaume hao hao wengi wao hawazingatii factors zinazopelekea Usaliti..

Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .NA kama una mke/ mpenzi mwenye kufanya Kazi au biashara Si vibaya ukamuongezea pale.Mfano Ndani ya mwezi ni kawaida mke au mpenzi kusuka mtindo wowote wa nywele au kama Si mpenzi wa kusuka Ataenda salon au mafuta ya kulainisha nywele au vyovyote jua Budget yake MPE au muongezee.Pia jari muonekano wake kwa mavazi mafuta ya kupaka vitu kama perfume ,lotion, Viatu Japo Sio lazima iwe kila mwezi.Je Viatu vya kazini vimeisha au Kuna ulazima Nunua..Pia Nguo Hata za mitumba zipo kwa Mara chache.Onyesha careness.

2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo Sio kila kitu ukishadadiee.Muelewe mpenzi wako .Pia Ni vizuri kujua weakness NA strengh za mke/ mpenzi wako itasaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima.

3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!

4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.

5.Jari hisia zake..Mfano ana lalamiko mwache aongeeee yote MPE ushauri Kuna mahali kakosea usimfokee mbele za watu nenda naye Chumbani mkanye muonye Huyo Ni Mtoto wako wa kwanza.Ukimkanya kwa Upendo Ataona Aibu NA Atajirekebisha tu.
Sasa Ninyi Wanaume huwa mnapuuza yote hayoo au huwa mnayafanya kwa kipindi cha chumba au Mwanzo wa mapenzi.Hali inayopelekea Mwanaume mwingine kuingilia Kati NA kuwamegea VITUMBUA vyenu.

Mnaanza kuapiza kuua sijui Visasi.Kumbe Makosa.mnayafanya ninyi.Believe me or not..mwanamke ana hulka ya Asili Asipojaliwa Ni Rahisi sana Kurubunika Msela wa Mtaa au mpuuzi mjinga mjinga mmoja anaweza Akammega mpenzi wako au mkeo wa Nywele tu ya Elfu 40.Kumbe ungejua Budget yake ukaokoa Mali zako zisichezewe.Wapo wabishi but jueni kwa Ununda wenu Kwa kujifanya kwenu Wabahili wapenzi wenu Mnao Lakini wanamegwa Daily na Hamtajuaaaa!!!kwa kuwasaidia nimewapa Hints za Kuepusha hayo Majanga.

Nikiwa mdogo kjijin kwetu nilichukia sana kula ugali kwa sababu ilikuwa ndo menu ya daily, nikawa natamani sana ubwabwa wa nyumba ya pili.
Masomo yalinipa chance ya kwenda mjini kwa bro, nilikula wali kila siku mpaka ukanikinai, nikawa natamani tena kula ugali.
Hivyo basi tabia ya binadam wengi iko hivyo, kuona kilicho kwa mwenzio ni bora kuliko kilichopo mkononi mwako.

Mtu wa character hii hata afanyiwe yote uliyoyasema na mengine uliyoyasahau, anaweza akajisikia tu siku moja amtunuku muuza genge kwa kumchagulia pilipili hoho na karoti nzuri full stop.
 
Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.

Asikwambie MTU..Wanaume walio wengi Wapo Radhi kutoa Uhai wa MTU Hata kujeruhi wanapoona mpenzi au mke Kasaliti.

Huumia sana..NA Ni wagumu kusamehe jambo hili likitokea tofauti kidogoo NA jinsia ya kike.Sasa Cha ajabu Wanaume hao hao wengi wao hawazingatii factors zinazopelekea Usaliti..

Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .NA kama una mke/ mpenzi mwenye kufanya Kazi au biashara Si vibaya ukamuongezea pale.Mfano Ndani ya mwezi ni kawaida mke au mpenzi kusuka mtindo wowote wa nywele au kama Si mpenzi wa kusuka Ataenda salon au mafuta ya kulainisha nywele au vyovyote jua Budget yake MPE au muongezee.Pia jari muonekano wake kwa mavazi mafuta ya kupaka vitu kama perfume ,lotion, Viatu Japo Sio lazima iwe kila mwezi.Je Viatu vya kazini vimeisha au Kuna ulazima Nunua..Pia Nguo Hata za mitumba zipo kwa Mara chache.Onyesha careness.

2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo Sio kila kitu ukishadadiee.Muelewe mpenzi wako .Pia Ni vizuri kujua weakness NA strengh za mke/ mpenzi wako itasaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima.

3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!

4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.

5.Jari hisia zake..Mfano ana lalamiko mwache aongeeee yote MPE ushauri Kuna mahali kakosea usimfokee mbele za watu nenda naye Chumbani mkanye muonye Huyo Ni Mtoto wako wa kwanza.Ukimkanya kwa Upendo Ataona Aibu NA Atajirekebisha tu.
Sasa Ninyi Wanaume huwa mnapuuza yote hayoo au huwa mnayafanya kwa kipindi cha chumba au Mwanzo wa mapenzi.Hali inayopelekea Mwanaume mwingine kuingilia Kati NA kuwamegea VITUMBUA vyenu.

Mnaanza kuapiza kuua sijui Visasi.Kumbe Makosa.mnayafanya ninyi.Believe me or not..mwanamke ana hulka ya Asili Asipojaliwa Ni Rahisi sana Kurubunika Msela wa Mtaa au mpuuzi mjinga mjinga mmoja anaweza Akammega mpenzi wako au mkeo wa Nywele tu ya Elfu 40.Kumbe ungejua Budget yake ukaokoa Mali zako zisichezewe.Wapo wabishi but jueni kwa Ununda wenu Kwa kujifanya kwenu Wabahili wapenzi wenu Mnao Lakini wanamegwa Daily na Hamtajuaaaa!!!kwa kuwasaidia nimewapa Hints za Kuepusha hayo Majanga.

Amini usiamini Wanaume wengi huchangia Mwanamke kuchange Tabia na kuamua Liwalo na liwe.Badilikeni iyo itafanya positive Behavior itokee upande wa pili.Una wivu huku hujui kutake Care???Just Change guys.You have that power!!!
...Kumegewa au kutomegewa Inategemea Mwanamke ana huruma na wewe kiasi gani....hilo ndo jibu sahihi mzee hizi unazotuambia ni siasa na vitu vya kukupa unafuu wa muda mfupi tu....Huruma yake na malezi yake ndiyo ponapona yako.Mwanamke ana Vinasaba vya Kinyonga.Anaweza akatamani tu kumegwa na Jitu nene lenye kitambi,anaweza akaamka katamani kumegwa na Baunsa,anaweza akaamka katamani kipigo kikali tu cha mpaka kuchubuliwa......sasa wewe kazana na kufungua milango mara cjui nini...!Ni Suala la Mungu tu amjaze huruma dhidi yako.Kuna watu wamewafanyiawanawake wao mazuri zaidi ya hayo na kupigiwa walipigiwa tu tena sana!!Ni huruma yake ndo itakuwa msaada kwako
 
Siku hizi ukitaka kuwa rafiki wa wanawake, au blog yako iwe na followers wengi, wewe andika mada hizi za kuwaweka wanawake safe side, na kufunika funika madhaifu yao huku ukiwashambulia wanaume.

Naona jamaa mmoja anaitwa somebody Chriss Mauki ana generate traffic kubwa sana kwa mada za namna hii, akiandaa kasemina kamoja anaweka kiingilio Tsh 40,000 kwa kichwa na elfu 80,000 kwa copules na anajaza nyomi kweli kweli.

Kasoma fursa, kaitumia fursa.

All in all life lazima iendelee na wajinga lazima waendelee kuliwa tu.
Point sana. Partner wangu ananitumiaga msg za watu aina hii zinanikeraga sana. I delete them instantly...work with what u have kama mmeamua kuwa pamoja. Anyways,nao wanakamatia fursa.
 
Umeandika vema.

Ikiwa mapenzi yote haya yanatoka kwa mwanaume, jukumu la mwanamke kwenye uhusiano huu wa kimapenzi/kingono litakuwa ni nini? Ama ku-dyudyuka tu?
...Alichoandika ni kitu kizuri cha kuwa waungwana(loyal)lakini anatakiwa aamini siyo msaada pia,ila ni msaada wa muda mfupi mno....
 
Naona ameandika siasa za mahusiano ya kimapenzi.

Uhalisia wa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ni zaidi sana ya alichoandika. Mahusiano ya kimapenzi ni sawa na kuimba, lazima mpokezane.

...Alichoandika ni kitu kizuri cha kuwa waungwana(loyal)lakini anatakiwa aamini siyo msaada pia,ila ni msaada wa muda mfupi mno....
wa
 
Point sana. Partner wangu ananitumiaga msg za watu aina hii zinanikeraga sana. I delete them instantly...work with what u have kama mmeamua kuwa pamoja. Anyways,nao wanakamatia fursa.
..Huyo somebody anasaidia kuvuruga Ndoa na Mahusiano ya Wapendanao..Mimi sio msomi wala mjuzi sana ila naamini Mapenzi hayana sehemu ya Elimu kwamba utaenda kuipata..Yanakuja tu,na kwa nini yanafeli?Naamini yanafeli ukianza kuingiza huu ujuaji mara semina kwa chriss mara sijui vitu gani hakuna kitu....Let love lead its own way!!
 
Chagua 1 kumegewa au just kutake care.Ugumu Upo wapi hapo
Babu kuna wanawake thy treated like queen/an Angel lakini kupigiwa ni suala mtambuka.....Hivi una taarifa Mwanamke anaweza kuamua tu kufanya na mtu mwingine hata yeye hamjui na unampa hizo care mnazoambizana hapa.Jidanganyeni
 
Umeandika vema.

Ikiwa mapenzi yote haya yanatoka kwa mwanaume, jukumu la mwanamke kwenye uhusiano huu wa kimapenzi/kingono litakuwa ni nini? Ama ku-dyudyuka tu?
Katafute uzi mmeorodhesha mnavyotaka kufanyiwa.
 
Kwa wanawake wa Dunia ipi? hata umpe Dunia nzima atachepuka tu
 
Back
Top Bottom