Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Mnapolia hamwolewi mnafikiria nini. ..wanawake wanaoishi kizamani ndio wanaolewa kaeni na makope na mikucha yenu msubiri kufunguliwa mlango wa gari.

Nyie ni wa chapa ilale
Aiseee!! Na ndio hao msoisha kuwaandikia thread humu au unaongelea wepi!! Mara mke wangu hivi mara vile!!

Mbona wake za watu ndio wabandika kope wazuri, asipendeze kisa kaolewa!!
We endelea tu na dua lako la kuku, kifaranga ashanyakuliwa hivyo!
 
Hayo yote ni kujisumbua tu jamani kama ni vigezo tumetimiza xana lkn hamna lolote kwa kifupi huwezi control mtu Na akili zake bhana.
 
Aiseee!! Na ndio hao msoisha kuwaandikia thread humu au unaongelea wepi!! Mara mke wangu hivi mara vile!!

Mbona wake za watu ndio wabandika kope wazuri, asipendeze kisa kaolewa!!
We endelea tu na dua lako la kuku, kifaranga ashanyakuliwa hivyo!
Haha kweli dua la kuku huku kifaranga ashanyakuliwa
 
Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.

Asikwambie MTU..Wanaume walio wengi Wapo Radhi kutoa Uhai wa MTU Hata kujeruhi wanapoona mpenzi au mke Kasaliti.

Huumia sana..NA Ni wagumu kusamehe jambo hili likitokea tofauti kidogoo NA jinsia ya kike.Sasa Cha ajabu Wanaume hao hao wengi wao hawazingatii factors zinazopelekea Usaliti..

Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .NA kama una mke/ mpenzi mwenye kufanya Kazi au biashara Si vibaya ukamuongezea pale.Mfano Ndani ya mwezi ni kawaida mke au mpenzi kusuka mtindo wowote wa nywele au kama Si mpenzi wa kusuka Ataenda salon au mafuta ya kulainisha nywele au vyovyote jua Budget yake MPE au muongezee.Pia jari muonekano wake kwa mavazi mafuta ya kupaka vitu kama perfume ,lotion, Viatu Japo Sio lazima iwe kila mwezi.Je Viatu vya kazini vimeisha au Kuna ulazima Nunua..Pia Nguo Hata za mitumba zipo kwa Mara chache.Onyesha careness.

2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo Sio kila kitu ukishadadiee.Muelewe mpenzi wako .Pia Ni vizuri kujua weakness NA strengh za mke/ mpenzi wako itasaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima.

3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!

4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.

5.Jari hisia zake..Mfano ana lalamiko mwache aongeeee yote MPE ushauri Kuna mahali kakosea usimfokee mbele za watu nenda naye Chumbani mkanye muonye Huyo Ni Mtoto wako wa kwanza.Ukimkanya kwa Upendo Ataona Aibu NA Atajirekebisha tu.
Sasa Ninyi Wanaume huwa mnapuuza yote hayoo au huwa mnayafanya kwa kipindi cha chumba au Mwanzo wa mapenzi.Hali inayopelekea Mwanaume mwingine kuingilia Kati NA kuwamegea VITUMBUA vyenu.

Mnaanza kuapiza kuua sijui Visasi.Kumbe Makosa.mnayafanya ninyi.Believe me or not..mwanamke ana hulka ya Asili Asipojaliwa Ni Rahisi sana Kurubunika Msela wa Mtaa au mpuuzi mjinga mjinga mmoja anaweza Akammega mpenzi wako au mkeo wa Nywele tu ya Elfu 40.Kumbe ungejua Budget yake ukaokoa Mali zako zisichezewe.Wapo wabishi but jueni kwa Ununda wenu Kwa kujifanya kwenu Wabahili wapenzi wenu Mnao Lakini wanamegwa Daily na Hamtajuaaaa!!!kwa kuwasaidia nimewapa Hints za Kuepusha hayo Majanga.

Amini usiamini Wanaume wengi huchangia Mwanamke kuchange Tabia na kuamua Liwalo na liwe.Badilikeni iyo itafanya positive Behavior itokee upande wa pili.Una wivu huku hujui kutake Care???Just Change guys.You have that power!!!
Wanawake bana.....

Ni lini mwanamke ukimfanyia hivi ndiyo atakuheshimu na kutoleta mambo ya ajabu?
 
Aiseee!! Na ndio hao msoisha kuwaandikia thread humu au unaongelea wepi!! Mara mke wangu hivi mara vile!!

Mbona wake za watu ndio wabandika kope wazuri, asipendeze kisa kaolewa!!
We endelea tu na dua lako la kuku, kifaranga ashanyakuliwa hivyo!
Aisee.....

Kuweka kope ndiyo kupendeza?

Kaazi kweli kweli......
 
Back
Top Bottom