Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Tatizo jingine wanawake wa Dunia hii hawjui kusoma nyakati ! Unaweza mpenda na ukampa kila kitu ambavyo hata ndugu zako hujawahi wapa lakn ikawa kazi bure
 
Umeandika vema.

Ikiwa mapenzi yote haya yanatoka kwa mwanaume, jukumu la mwanamke kwenye uhusiano huu wa kimapenzi/kingono litakuwa ni nini? Ama ku-dyudyuka tu?
Nimeelezea upande wa jukumu la Mume/mpenzi kwa Mkewe au Mpenzi Hapo Sasa Automatically mwanamke naye anaplay part yake kama kawaida.Wanawake wapo so sensitive.. ukimdharau usimjari Hakika nyumba huingia Ruba.Sasa mwanamme unapomjari namna hiyo unasababisha kupunguza au kurejesha nia ya Mahusiano.Kwani Nani Hajui kama ukiwa NA mpenzi wajibu wako Ni nini.Inajulikana wazi.But nimeelezea hayo Ili kupunguza au kutokomeza rate ya Infidelity Kwenye mahusiano ya kizazi hiki.Kwani nimegundua Wanaume wengi wangali na wapenzi wao huanzisha mahusiano nje yaani Michepuko NA kuwajari sana NA kusahau wenza wao Hali hii humfanya mwanamke kugundua tofauti nae kuanza kuchepuka.Sasa nini kinatokea Ni kwamba Mwanaume akigundua mpenzi anamsaliti maamuzi yao Ni magumu mno Mfano kuua kulawiti wagoni wao au kuwapiga NA kuwajeruhi..kesi hizi zipo sana sana Mahakamani.Nini chanzo Ni kutokujari.Mwanaume una nafasi kuubwa sana kutokomeza Hali hii.NA jamii yetu ikawa salama NA pia kuepusha watoto wa mitaani au Single parents.Please take Action Now.
 
Katafute uzi mmeorodhesha mnavyotaka kufanyiwa.
kha!

kumbe kuna orodha ya ambayo wanaume wanapenda wafanyiwe?. Basi sawa.

Yote kwa yote, hizi siasa za mapenzi ndio zinasababisha akina dada na akina kaka wasifurahie mahusiano ya mapenzi. Maana mahusiano ya mapenzi hayahitaji hizi siasa hata.
 
Nani kasema?
Huo Ndo Ukweli.Mwanamke ana nafasi kuubwa sana ya kufupisha maisha yako aliamua.Fanya utafiti.Wanaume wengi wanakufa vifo vya ajabu Tena mke akisema Ni pressure ya kupanda NA kushuka Nani anafanya postmotam.. unazikwa Asubuiii NA mapema.So punguzeni mapepe
 
...Alichoandika ni kitu kizuri cha kuwa waungwana(loyal)lakini anatakiwa aamini siyo msaada pia,ila ni msaada wa muda mfupi mno....
Msaada wa kipindi kirefu Ni upi
 
Baadhi ya wanawake ni watu wa ajaabu kweli, unaweza kumfanyia yote hayo. mwisho wa siku anapakatwa kama kawaida. hapa nilipo sina ndoto ya kuoa.
 
Naona ameandika siasa za mahusiano ya kimapenzi.

Uhalisia wa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ni zaidi sana ya alichoandika. Mahusiano ya kimapenzi ni sawa na kuimba, lazima mpokezane.

wa
Ndugu yangu.Kila kitu Hapa Duniani Kina Kanuni zake.Mfano Kuna hii Familia ya Barack Obama ukiangalia au kusikia Historia yao ya kimapenzi unaweza pata faida kidogo.Nimewaongelea hao kwa sababu wanajulikana karibia NA Watu wengi.Sio kwamba hawatofautiani au kwa nini Mpaka Leo wapo pamoja tukizingatia walitoka from point zero to hero.Wamejaribu NA kufuata kanuni za mahusiano.Sheria hizo zipo Hata MTU unapotaka kusonga Ugali.Unachemsha kwanza MAJI unachukua MAJI kidogo ya baridi unayakorogea unachanganya NA MAJI ya moto..unakorogaa unaacha mchanganyiko huko uchemke vizuri.Ndio unasonga.Kinyume NA Hapo Sio ugali tena utakuwa mbichi na hutaula .Same to relationship.Ukikosea kanuni Ni.majanga.Tusikimbie ukweli
 
Babu kuna wanawake thy treated like queen/an Angel lakini kupigiwa ni suala mtambuka.....Hivi una taarifa Mwanamke anaweza kuamua tu kufanya na mtu mwingine hata yeye hamjui na unampa hizo care mnazoambizana hapa.Jidanganyeni
IPO ivi.Ukiona imetokea hivyo jua Wewe Mwanaume una shida mahali.Nimeshuhudia wababa wengi wanatoa Huduma kama hizo unazosema but.Muda NA wake/wapenzi wao hawana.Eti simply foz they provide materials.Kutake care Ni kimwili NA kidogo.Karibu hayo uone faida.
 
Nimeelezea upande wa jukumu la Mume/mpenzi kwa Mkewe au Mpenzi Hapo Sasa Automatically mwanamke naye anaplay part yake kama kawaida.Wanawake wapo so sensitive.. ukimdharau usimjari Hakika nyumba huingia Ruba.Sasa mwanamme unapomjari namna hiyo unasababisha kupunguza au kurejesha nia ya Mahusiano.Kwani Nani Hajui kama ukiwa NA mpenzi wajibu wako Ni nini.Inajulikana wazi.But nimeelezea hayo Ili kupunguza au kutokomeza rate ya Infidelity Kwenye mahusiano ya kizazi hiki.Kwani nimegundua Wanaume wengi wangali na wapenzi wao huanzisha mahusiano nje yaani Michepuko NA kuwajari sana NA kusahau wenza wao Hali hii humfanya mwanamke kugundua tofauti nae kuanza kuchepuka.Sasa nini kinatokea Ni kwamba Mwanaume akigundua mpenzi anamsaliti maamuzi yao Ni magumu mno Mfano kuua kulawiti wagoni wao au kuwapiga NA kuwajeruhi..kesi hizi zipo sana sana Mahakamani.Nini chanzo Ni kutokujari.Mwanaume una nafasi kuubwa sana kutokomeza Hali hii.NA jamii yetu ikawa salama NA pia kuepusha watoto wa mitaani au Single parents.Please take Action Now.

Helloo

Asante kwa majibu ya bashasha.
Hata hivyo niruhusu niweke kumbukumbu sawa.
1. Mchepuko/Michepuko sio habari mpya hapa duniani. Mahusiano haya yapo toka dahari. Ni sawa kwa vijana wa leo kuona kwamba kizazi chao hiki kimezongwa na michepuko. Maana ndio wakati wao huu kupambana na kadhia hii. Hivyo basi, usahihi ni kwamba michepuko sio jambo (phenomenon) mpya kwenye jamii yetu.

2. Kumjali sana mwenza wako (mume ama mke) sio kinga ya mwenza wako huyo kuwa na mahusiano ya nje. Haijawahi kuwa, sio kinga wala haitokuja kuwa kinga. Wapo waliojaribu kuwachunga wenza wao, wengine walithubutu kuwawekea mitego ya kiasili. Haikusaidia. Ukweli ni kwamba, kuepuka usaliti kwenye mahusiano hakuna kanuni. Ushauri mkuu ni kujikana nafsi na kuridhika na uliye naye, pia kutii sheria za Mwenyezi mungu kuhusu mahusiano ya kimapenzi. Ingawa ushauri huu unaonekana kama ni nadharia zaidi, lakini ndio ukweli.

3. Ni kweli madhara ya fumanizi ni makubwa sana. Lakini sio sahihi kuhitimisha kwamba michepuko inasababishwa na wanaume kutowajali wenza wao. Vilevile mwanaume/wanaume wanapoanzisha mahusiano ya ziada mbali na mwenza wake, sio sahihi kuhitimisha eti chanzo ni mwanaume pekee ama chanzo ni mwanamke pekee. Ndiposa awali niliandika raha ya kuimba ni kupokezana. Maana mahusiano ya mapenzi ni zao la jitihada za mume na mke kuboresha ahadi yao ya 'nakupenda' ama "i love you'. Ahadi hii haiwezi kuboreshwa na mume pekee ama na mke pekee.

Mwisho, itoshe kusema kwamba upo ushahidi wa kimaandiko kwenye vitabu vitakatifu kwamba kosa la Adamu lilikuwa kumwacha Hawa arande rande peke yake bustanini Edeni. Huko akakutana na nyota aliyeleta ushawihi mbaya ukapelekea madhara makubwa kwa kizazi cha Adamu na Hawa. Hivyo ni kweli kwamba mwanaume anayo nafasi kubwa kumlinda mwenza wake asipotoke. Hata hivyo, pamoja na maandiko kusimama, zama za maisha zimebadilika sana. Mtazamo wa maisha kwa wake na waume umebadilika sana. Nafasi na wajibu wa wanaume na wanawake kwenye familia nao umebadilika sana. Muhimu sana ni kudhoofika kwa imani na ujasiri wa mwanadamu kuzishinda tamaa za mema ya ulimwengu. Mema yanayopatikana kwa vipande vya fedha. Fedha imekuwa fedheha. Inatuletea fadhaa. Ndio maana haiwezekani kuhitimisha moja kwa moja kwamba mwanaume afanye yafuatayo na mwanamke afanye haya ili kulinda mahusiano yao ya kimapenzi. Ndiposa napendekeza kuzingatia sheria za mwenyezi Mungu zinazoongoza maisha ya mwanadamu.

Wakatabahu.
 
Kwa wanawake wa Dunia ipi? hata umpe Dunia nzima atachepuka tu
Sio kweli.Jichunguze vizuri.Unampa Kila kitu but Mpaka Jpili Eti Upo busy NA warsha semina makongamano NA mikutano.what the hell!!
 
...Kumegewa au kutomegewa Inategemea Mwanamke ana huruma na wewe kiasi gani....hilo ndo jibu sahihi mzee hizi unazotuambia ni siasa na vitu vya kukupa unafuu wa muda mfupi tu....Huruma yake na malezi yake ndiyo ponapona yako.Mwanamke ana Vinasaba vya Kinyonga.Anaweza akatamani tu kumegwa na Jitu nene lenye kitambi,anaweza akaamka katamani kumegwa na Baunsa,anaweza akaamka katamani kipigo kikali tu cha mpaka kuchubuliwa......sasa wewe kazana na kufungua milango mara cjui nini...!Ni Suala la Mungu tu amjaze huruma dhidi yako.Kuna watu wamewafanyiawanawake wao mazuri zaidi ya hayo na kupigiwa walipigiwa tu tena sana!!Ni huruma yake ndo itakuwa msaada kwako
Mimi Sio Mzee Ni Mdada bana.
 
Huruma wapi Wewe.Halafu Wewe Unaonekana Ni mbishi wa kujifunza.Sasa Ebu kuanzia Leo kitandani mridhishe mhudumie NA Kila kitu.Yaani hatachepuka Hata aje Trump
 
Mwamba ngozi huvutia kwake
Jaribu hizo kanuni Halafu uje.Usiache Hata moja.NA usisahau ya kuwa naye Karibu NA kumridhisha Kwenye tendo.Wengine huenda Dk 3.Are you kidding.Utasalitiwa tu Hata umjengee nyumba.Kama una Matatizo kiafya nenda Hospitalini Lakini usije Hapa Eti nimempa Kila kitu kanisaliti.Pia kama aliwai kukulalamikia Eti unanuka Domo ilo nalo Ni kosa.Fanya hima tibu ilo Tatizo wanawake wengi kwao iyo Ni sumu utakimbiwa mchana kweupe Hata uwe tajiri vipi.
 
Sio kweli.Jichunguze vizuri.Unampa Kila kitu but Mpaka Jpili Eti Upo busy NA warsha semina makongamano NA mikutano.what the hell!!
Basi kama sio kweli ngoja basi nikuoe ili uone
 
Aiseee!! Na ndio hao msoisha kuwaandikia thread humu au unaongelea wepi!! Mara mke wangu hivi mara vile!!

Mbona wake za watu ndio wabandika kope wazuri, asipendeze kisa kaolewa!!
We endelea tu na dua lako la kuku, kifaranga ashanyakuliwa hivyo!
Haa haa haaa .Yaani huyu keshatoswa
 
Ndugu yangu.Kila kitu Hapa Duniani Kina Kanuni zake.Mfano Kuna hii Familia ya Barack Obama ukiangalia au kusikia Historia yao ya kimapenzi unaweza pata faida kidogo.Nimewaongelea hao kwa sababu wanajulikana karibia NA Watu wengi.Sio kwamba hawatofautiani au kwa nini Mpaka Leo wapo pamoja tukizingatia walitoka from point zero to hero.Wamejaribu NA kufuata kanuni za mahusiano.Sheria hizo zipo Hata MTU unapotaka kusonga Ugali.Unachemsha kwanza MAJI unachukua MAJI kidogo ya baridi unayakorogea unachanganya NA MAJI ya moto..unakorogaa unaacha mchanganyiko huko uchemke vizuri.Ndio unasonga.Kinyume NA Hapo Sio ugali tena utakuwa mbichi na hutaula .Same to relationship.Ukikosea kanuni Ni.majanga.Tusikimbie ukweli

Helloo
Kweli kanuni zipo.
Lakini sio kila wakati kanuni zinatoa majibu yaliyokusudiwa.
Si unaona mwenyewe wajuzi wa Marekani walitumia kanuni chekwa na kumpa ushindi Hillary? Lakini alichofanya Trump dunia nzima imenuna na kutikisika.Vlad Putin na sisi wachache wengine ndio tumefurahi. Sasa hapo tusemeje kuhusu kanuni?
 
Back
Top Bottom