Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanawak wa Leo vimeo. ..

Bibi na babu waliishije na mpaka Leo wapo.

Hizo filamu za kifilipino zimewapa ujing
 
Aisee asikwambie mtu hakuna kitu inauma kama ukisikia au ukajua mke wako ameliwa na fulan na kinacho umiza zaid ni walifanyaje kwa bedi Yaan aliliwaje kwa style ipi hayo maswali ndo yanaumiza.... Ko issue ya kuliwa sio kesi kesi ni wamefanyaje fanyaje pale kitandani?
 
Mme ni mwili wa mke pia...mfanyie na wewe pia..na yeye anataka hiyo care..na uzuri ni kwamba ukimfanyia yeye once,yeye atakufanyia twice...you are the queen and He is the King...you want him to be your servant...be servants to each other...sio mnalilia hapa wakati hamufanyii waume au wapenzi wenu yale mnayotaka kufanyiwa na wao.
Kidogo umeanza kunielewa. Ni hivi kila siku zinakuja threads mke mfanyie hivi mumeo, sionagi threads za mume mfanyie hivi mkeo. Na umeona comments zenu humu, kuwaspoil wake zenu ni utumwa kwenu.

Nachosema ni hiki, kwenye mahusiano kila mtu agive his/her all, na usitegee mwenzako aanze ndo na wewe urudishe. Kwa nini wewe usianze kumspoil mkeo, afu yeye akufanyie twice? Kuna tatizo gani wewe ndo ukianza badala ya kumsubiri yeye aanze?
 
Ni kweli ila tukizidisha sana hayo kuna hatari ya kuitwa DUME BWEGE
hamnaga jema nyie.
 
Hahaa na arudishe miaka nyuma wakaishi hizo enzi za mwalimu. Vibibi vya sasa hivi vinaangalia wafilipino pia teh
Yaani na arudi tu maana hamna namna!! Kutukalia kooni utadhani wao wanafanana na babu zetu!!
Mfyuuuu!!
Arudi avae na magome ya miti kabisa.
 
Yaani na arudi tu maana hamna namna!! Kutukalia kooni utadhani wao wanafanana na babu zetu!!
Mfyuuuu!!
Arudi avae na magome ya miti kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] I can't you
 
Kidogo umeanza kunielewa. Ni hivi kila siku zinakuja threads mke mfanyie hivi mumeo, sionagi threads za mume mfanyie hivi mkeo. Na umeona comments zenu humu, kuwaspoil wake zenu ni utumwa kwenu.

Nachosema ni hiki, kwenye mahusiano kila mtu agive his/her all, na usitegee mwenzako aanze ndo na wewe urudishe. Kwa nini wewe usianze kumspoil mkeo, afu yeye akufanyie twice? Kuna tatizo gani wewe ndo ukianza badala ya kumsubiri yeye aanze?
Kama ni hivyo sawa...lakini mke mwenye hekima huijenga nyumba yake..tafuteni hekima..mwanamke asiyefanyiwa hivyo akatumia sababu hiyo kumsaliti mwenzake ni mpumbavu..na nyumba yake itavunjika.
 
Kama ni hivyo sawa...lakini mke mwenye hekima huijenga nyumba yake..tafuteni hekima..mwanamke asiyefanyiwa hivyo akatumia sababu hiyo kumsaliti mwenzake ni ********..na nyumba yake itavunjika.
Hayo ya kusaliti siyajaongea, na wala siyasupport. Kusaliti ni choice tu, anayetaka kusaliti atasaliti hata ukiwa unambeba mgongoni kwenda job daily. Ila msisahau kutuspoil eeeh
 
Hahaa na arudishe miaka nyuma wakaishi hizo enzi za mwalimu. Vibibi vya sasa hivi vinaangalia wafilipino pia teh
Mnapolia hamwolewi mnafikiria nini. ..wanawake wanaoishi kizamani ndio wanaolewa kaeni na makope na mikucha yenu msubiri kufunguliwa mlango wa gari.

Nyie ni wa chapa ilale
 
Mnapolia hamwolewi mnafikiria nini. ..wanawake wanaoishi kizamani ndio wanaolewa kaeni na makope na mikucha yenu msubiri kufunguliwa mlango wa gari.

Nyie ni wa chapa ilale
Sheikh Yahya hatutoolewa kwa sababu tumepishana mitazamo na wewe? Unahisi dunia nzima wanaume wote wana ufahamu kama wako? Teh wanaume kama wewe hatuwataki hata kwa kushinikizwa na Umoja Wa Mataifa. Anyway endelea kuomba labda Mungu atasikia maombi yako juu yetu. Me nakuombea tu uanze kumspoil mkeo
 
Any way hata maisha huyajui napoteza muda tu hapa. ...All the best na hao Bae wenu wanaowafungulia mlango wa gari
 
Any way hata maisha huyajui napoteza muda tu hapa. ...All the best na hao Bae wenu wanaowafungulia mlango wa gari
Thanks much darling. Sisi tunayajua tu maisha yetu. Yako hatuyajui wala hatutaki kuyajua teh

Ujumbe mwingine wote mnajifanya hamjauona ila kufunguliwa milango tu, heheh
 
Hayo ya kusaliti siyajaongea, na wala siyasupport. Kusaliti ni choice tu, anayetaka kusaliti atasaliti hata ukiwa unambeba mgongoni kwenda job daily. Ila msisahau kutuspoil eeeh
Nimekupenda bure...na nimegundua tofauti yako wewe na atoto.
 
Back
Top Bottom