Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Akili zao wanazijua wenyewe. Utamsaidia kupika siku hiyo kwa mapenzi na upendo tu, mwenzio ndo anaandika ni jukumu lako pia.

Hayo uliyoandika hapo juu yote ni upuuzi tu.

ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI na siyo hayo uliyoandika.
 
Hyo namba 2 ndo nmeipenda coz misuguano mingne cyo ya lazma kabsa
 
Kwa experience hii kitu ni hulka tu ya mtu na mtu, kuna wanawake ni wavumilivu hata mwanaume afanye nini watabaki tu kuwa loyal na wengine kwa kua hivyo mpaka wana manage kusababisha guilty consciousness kumfanya mwanaume abadilishe his ways, na kuna wale ambao hata uwafanyie nini hawawezi kubadilika hususan ni wale ambao tayari kuna picha wamesha zitengeneza vichwani mwao kwa jinsi wanavyo taka kuishi especially kwenye maswala ya mapenzi. Mtoa mada hapa nnaweza kusema hii mada umeitoa kihisia zaidi kulingana na mahitaji yako ambayo ukweli ni kwamba wapo wengi hupenda kuji fariji wanapo ambiwa wanayo hitaji kuyasikia....mtazamo wangu ni kwamba itahitaji zaidi utayari wa kuingia kwenye mapenzi ya kudumu na mpenzi mmoja, lakini kama moyo haujaridhia basi ni hata umnunulie dunia nzima na maji yake bado tu ata gegedwa mahali kwengine au kama kawa... kupanga ni kuchagua

Nawasilisha
Dada anatoka kbla moja maarufu kwa mambo ya kugegedana liko kule kanda ya ziwa a. K. a tetemeko
 
Mkuu wanawake hawatosheki hata ungewamilikisha dunia nzima. Utakaa sana!
 
Me naamini kwenye mahusiano hakunaga ku "complete" each other, bali kuna ku "balance". Mmezaliwa tofauti, mmelelewa tofauti, mmekuwa exposed kwenye mazingira tofauti na baada ya kujitambua, kila mtu alifanya choices zake, so sitegemei watu mfananane kwa kila kitu. Sasa kwenye mahusiano lazima ujifunze kusacrifice, lazima ujifunze kucompromise, lazima ujifunze "kumbebea" mwenzako mapungufu yake. Kwa sababu tuna backgrounds tofauti, doesn't mean kila mtu astick na background yake. Kuna baadhi ya vitu lazima uvibadilishe ili muende sawa na mahusiano yenu. Ukiona haka kakitu kataboresha mahusiano yetu, si unaka-adapt tu, kama si kitu kibaya wala cha kuzidi uwezo wako. Yes kuna vitu me naweza nikawa napenda mwenzangu anifanyie, ila yeye havifanyi maybe. Sitolalamika au kununa maybe, but it doesn't change the fact kwamba navitamani na nikifanyiwa kwa kweli tumahaba tutanoga zaidi tu lol. Kwenu hamna background ya kusema "Ahsante", mkeo hatopigana usipomwambia "Ahsante", Ila ukijifunza kumwambia "Ahsante", utaona mwenyewe mambo yatakavyonoga zaidi

Tatizo imekuwa kama mahusiano ni ya mwanamke tu. Kila siku mwanamke mfanyie hili mumeo, mfanyie lile. Hivi jamani ndoa ni efforts za mwanamke peke yake? Mwanaume hana cha kumfanyia mkewe? Sisi hatupendi kuwa spoiled? Me ni muumini mzuri wa team work, kila mmoja ajitahidi kufanya chochote anachoweza as long as anaona kitaboresha mahusiano yake. Wapeni mahaba wake zenu jamani, maisha ndo haya haya eti lol

Sasa utakuta maybe janamke lenyewe lipo na wewe kwenye ndoa coz limekupendea hela, au limeolewa na wewe ilimrad basi tu kwa vile kakosa better options lyk wanaume anaowataka yeye, wao hawamtaki (hapo utakuta kwenye kutongoza limeshakuzungusha weee kwa miaka 2), hayo mapenz utamwonyesha saa ngap, tena mwanamke wa hivo akimuona mumewe tu, moyoni anakereka tu sema bas afanyeje. Kwenye relationships wa2 wengi wanateseka ww, we acha tu Heaven Sent
 
Pumba tupu!!! Kama kuchepuka ww chepuka tu! Mbona hiyo papuchi sio yangu.....ni yako tena yako mwenyewe! Ww iuze ununue......."kama unampenda mumeo vilivyo mambo yakijinga utayaweka kando.....pia mie huwa nina amini Mwanamke mwenye dini na imani ya kweli hanaga mambo mengi kama uliyo taja hapo juu.
 
Kukubaliana na kuridhika tu, waweza fanya kila kitu na bado mwanamke akatoka. Haya Mambo yako vice versa in real life.
 
Thredi ya kijinga sana hii.....tuache kuwaza mambo ya uchumi tuwawaze nyie kihivyo. Yaan full dedication full concentration kuwawazeni tu, Tutawakula kama chakula? tutawaendesha kama magari? tutawalipa kama karo? kumbafu.
 
Zawadi kwa mtoa mada ila wanaume wengi wanakwambia nani awe mtumwa wa mwanamke..... Hayo yooote uliyo yataja wanaume wachache saana ndiyo wanaweza kuwatekelezea wenzi wao....na si km uwezo hawana wanao Sana ila ubabe mwingi...kwasabab anajiona anapesa ni handsome anaona kesha maliza kila... Hamna mwanamke anaeweza kufurukuta kwakeee...

Cc:Michaelry
 
Safi sana.
Sisi ni Binadam na ubinadam wetu unakamilshwa kwa mapungufu tuliyonayo you can't be financially vry supportive to your loved one at the same time you have a really and complete love to the same person there is a point where you will complete your humanity so let's be humble to each of us
 
You know nothing about women. Kuna mambo hapo umeyataja lakini yanategemea akili na malezi aliyopewa mwanamke wako. Kwani kwa wengine ndio anakuona wewe msukule wake umekufa umeoza na atakuburuza hadi ujute. Na mwingine ataenda kuliwa nje huku akijisifu kwa mchepuko wake kwamba yule bwege nimekamata wala hafurukuti hivyo usihofu tule raha zetu tu. Hakuna formula ya mapenzi inayofanya kazi kwa wote.
 
Sisi ni Binadam na ubinadam wetu unakamilshwa kwa mapungufu tuliyonayo you can't be financially vry supportive to your loved one at the same time you have a really and complete love to the same person there is a point where you will complete your humanity so let's be humble to each of us
Acha visingizio, mliagizwa mtupende, unaanzaje sasa kuacha kutupenda.
 
Back
Top Bottom