Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Maandalizi ya nini wakati nakulipa, we nipe huduma nimailize shida zangu bia umekunywa, nyama umekula na pesa natoa, harafu nihangaike sijui kunyonya wapi sijui kushika wapi eehh.
Wanawake mtuonee huruma, we jiandae mwenyewe tu.

Labda kama ni mke sawa kwasababu sinunui na muda unatosha
Naongelea watu wenye mahusiano siyo wanaouziana
 
No reforms, no election.

Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?

Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?

Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?

Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲
Upo baa, bia imefunguliwa nakumiminwa kwenye glass unasubiri nini na una kiu? Bia ya pili nitakunywa taratiibuuu!!
 
No reforms, no election.

Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?

Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?

Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?

Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲
Kwa vile ni ngonobiashara na nikimaliza nasepa usije sema hujashiba, utashiba unakopeleka malipo yangu.
 
Hapo sasa! Nakubaliiii
Shida watu wengi huwa hawaongeleshani wanapokuwa wanafanya mapenzi!! Ukitaka mapenzi yanoge, ongeeni.kama mwanaume unaona unataka kufika, muulize mwenzako, nimalize?? Atakwambia usubiri au umalize!! Na huwa inapendeza sana kumuona mwanamke anapohangaika kufikia kilele chake!!mm huwa nafurahi sana yeye aanze!!
 
Safi sana hivyo ndiyo inavyotakiwa
 
Kituko kingine unafanya maandalizi muda mwingi harafu mechi yenyewe humalizi hata dk mbili AHHHH, mwanamke anakuangalia hakumalizi anajisemea tu , moyoni nichukue tu changu niende Kwa john.......................
Kama unajijua una hilo tatizo la kuwahi kufika, utafute tiba sasa
 
Back
Top Bottom