new user2025
JF-Expert Member
- Jun 18, 2025
- 235
- 347
5G yenyewe siku hizi haiaminiki....unaeza shangaa mnara unaangukia 2G katikati ya kudownloadNo reforms, no election.
Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?
Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?
Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?
Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲