Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Wanaume, huwa mnaharakia nini?

No reforms, no election.

Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?

Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?

Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?

Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲
Ukiona hivyo unapenda usagaji
 
00041042138c91f85d157779b1775e2b.jpg
 
Kama ungetoa ushirikiano mzuri wakati wa kuomba gemu then hata wakati wa gemu ungepata sapoti ya kutosha.

Ila shida wakati wa kuomba gemu mnakuwa na ufala mwingi,mnatoza ushuru mkubwa,mixer Vat, na hela ya kutolea.

Halafu baada ya haya yote mnataka wanaume akupambanie na kitandani upate raha,wewe ni mtu mbinafsi kiasi gani hadi utake kila kitu ufanyiwe wewe uwe mpokeaji tu.

Kila mtu ajipambanie bana. Jipimie size yako.
Mapenzi hayawezi kunoga kama hamuandaai, mkichubuana je?
 
No reforms, no election.

Moja kwa moja kwenye mada, hivi nyie wanaume huwa mna shida gani?

Wakati wa mizagamuano hamtaki kabisa kutumia muda kutuandaa, mnara ukisoma 5G nyie mnataka kuzama tu, shida ni nini?

Mna haraka ya nini?, ndege kashakuwa wako manati ya nini eti?

Wanaume wenye hii tabia mbadilike mnatutoa kwenye mood🥲
Huwa unakereketwa kupampuliwa haraka haraka ?
 
Back
Top Bottom