Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Sasa akina sie wenye reception za babu zetu wazaa wajomba ndio kusema?????[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Inabidi muwe na tabia za malaika.....aiseee
 
Asikwambie mtu mkuu.
Binti ànaweza kuwa na kila sifa Ila kama moyo wako haupo kwake daah
Hata angefanya nini huwezi appreciate...wala hioni...

Unajikuta moyo upo kwingine kabisaa tena huko moyo ulipo hata hamna la maana.

Unaishia kumuumiza.
Na huko moyo ulipo nae moyo wake uko kwingineee, hadi uje utuke ni too late.

Huyo ulomquote namuelewa sana, yakishakukuta ya kukukuta ndio akili inafunguka na kugundua unahitaji zaidi ya kile moyo unachohitaji.
 
Asikwambie mtu mkuu.
Binti ànaweza kuwa na kila sifa Ila kama moyo wako haupo kwake daah
Hata angefanya nini huwezi appreciate...wala hioni...

Unajikuta moyo upo kwingine kabisaa tena huko moyo ulipo hata hamna la maana.

Unaishia kumuumiza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Big up mkuu, kuna faida gani ya kuoa mzuri kama malaika lakini ukirudi nyumbani unakuta nyumba chafu, hajapika, siku nzima alikuwa kitandani akitoka whatsupp anainga instagram.
Then wanakuja kutujazia server humu kwa malalamiko kila siku, kumbe vipaumbele vyao ndio vilikuwa tatizo.
 
Mwanamke anayetambua nafasi ya mwanaume kwenye maisha yake huyo ndiye nayemsaka kila kukicha.
 
Moyo wa mtu ni msitu, msichana ukishamwambia unataka kumuoa anauwezo wa ku pretend tabia nzuri hata mwaka mzima, ukishamuoa ndiyo utajua tabia zake original
Hapo napo ndipo penye balaa sasa!!
 
Big up mkuu, kuna faida gani ya kuoa mzuri kama malaika lakini ukirudi nyumbani unakuta nyumba chafu, hajapika, siku nzima alikuwa kitandani akitoka whatsupp anainga instagram.
Ila tu tuseme ukweli. Social media zinawazuzua sana dada zetu mpaka maofisini. Yaani kunamuda mtu anashindwa kutimiza malengo yake kwasababu tu yuko instergram ana like picha za watu. Kwakweli wa hivi anipitie mbali[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom