Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Heart want what the heart want....

Kuna kitu kinachanganya mnoo kwenye kuchagua.....

Haja ya moyo wako (kipenda roho) vs mahitaji halisi ya ndoa (vigezo halisi vinavyohitajika)....

Ukifanikiwa kupata vyote kwa pamoja your safe.....
For sure.
 
Formula nzuri ni kuoa yule ambae hata akikuudhi hukasiriki
sababu mapenzi yanahitaji uvumilivu....sana
kuoa mtu sababu tu ni 'wife material' lakini 'hakusisimui' kabisa ni rahisi kuachana nae

Dawa nikuoa yule ambae hata akikukosea unaweza samehe bila kuombwa radhi
simply sababu yuko moyoni mwako
waoooo, that is so nice of you. nimekuwa nawaambia watu the same. gud you have added some points to it and I will go ahead teaching this young age of the same
 
Hiyo ndiyo nambari one, yale majambo yetu ya faragha "lady in the street but freak on the bed" na yale majambo yetu mengine ya mahanjumati na asiwe wale wa kununa nuna bila sababu.

Huyu ni mke bomba sana kama kajaliwa na uzuri Mungu akupe nini tena!
Ninadhani kikubwa mkuu ni maelewano, siku za kwanza itakuwa kama pair mpya ya viatu lakini ukishajua BAK hiki hapendi na wewe unaacha sidhani kama mtagombana. Kitu cha pili ni kutunza siri.
 
Formula nzuri ni kuoa yule ambae hata akikuudhi hukasiriki
sababu mapenzi yanahitaji uvumilivu....sana
kuoa mtu sababu tu ni 'wife material' lakini 'hakusisimui' kabisa ni rahisi kuachana nae

Dawa nikuoa yule ambae hata akikukosea unaweza samehe bila kuombwa radhi
simply sababu yuko moyoni mwako
Mmmmmh!!!
Na feelings ziwe mutual.
Sasa ktk situation kama hii ndio huyo anayemsisimua alimtelekeza kwenye time of need, so unamsamehe tu mnasonga?
 
Hiyo ndiyo nambari one, yale majambo yetu ya faragha "lady in the street but freak on the bed" na yale majambo yetu mengine ya mahanjumati na asiwe wale wa kununa nuna bila sababu.

Huyu ni mke bomba sana kama kajaliwa na uzuri na chura Mungu akupe nini tena!
Wacha weeee!!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Siri za GF/mke mtarajiwa unazipeleka wapi tena!? Ili iweje!? Mwanaume wa hivi hujitambui kabisa!
Matatizo yetu sisi mkuu, kama mambo hayaendi vile unavyotaka kwa siku mbili tu unatafuta shost wa kukupa ushauri; baada ya wiki kumbe jamaa ilikuwa ni pressure ya report amalize kazini na ameshamaliza na amekutoa dinner umeshasahau hata kama mlikuwa na matatizo. Kule mashost bado wanayaongea na wanangoja siku utakayobeba virago.
 
Mapenzi ni 'utumwa wa hiari'
for both sides

ndo maana simu unanunua kwa hela yako lakini kuna mtu akikupigia ukachelewa kupokea
inabidi 'ujitetee'
Ni kweli kuna mama aliniambia raha ya ndoa ni kuwekeza, wekeza usijali, wekeza kwenye muda, wekeza kwa mapenzi, wekeza kwa pesa lakini utavuna mwisho wa siku.
 
Hapo ni section B ya mtihani, define........ and explain.......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa moyo umependa right?
Ila linapokuja suala la till death do us apart unakuta mambo hayaendi, kumbuka hata love huwa inafade with time kwasababu ya mambo mbalimbali and tabia pia huchangia.
 
Nimekusoma mkuu.
 
Back
Top Bottom