Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Kabla sijajua chochote huwa nacheki sura na macho ya kusinzia fulani hiv halafu mengine huja baadae kabisa mfano tabia ukarimu au matendo lazma kuzingatia,
 
Bora nifuge kuku mie nipate protini.

Kwani kwa kwa binadamu hupati protein?!
[emoji87] [emoji85] [emoji125]


Hahahaaaa!! Ooh mumefanyie hivu, fanya vile mara usifanye vile!!! Wooooi!! Alafu ndio wanaongoza kuachika.


Yaani kanichekesha!, ni ajabu lakini mjue, eti ma kungwi ndo wanakuwa tena single ladies! [emoji15]
 
Back
Top Bottom