Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Ni common mtoto wa kiume atataka mke wake awe kama mama yake, kitabia, kiumbo na upendo..
Tatizo linakuja kwamba hata tabia zikiwa nzuri, malezi always ni tofauti, na mwanamke kabla ya kuwekwa ndani ni tofauti 110% kuliko atakapoolewa na kuishi kwenye boma lako..
Baada ya miaka kadhaa ndipo mwanaume utajuwa kama umeokota mcharuko au wa ukweli..
Hakuna formula mkuu..Ni shida sana..
 
Back
Top Bottom