Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Akiweza kujiendeleza lakin asiharibu mambo ya familia itakuwa poa. At least akafika diploma
Ila sasa siyo anaenda Phd kwani anataka kuja kuwa nani?
Ki ukweli wanawake wapenda shule are likely to be bad moms/wives
Anataka kuwa Professor kama Tibaijuka, kwani kuna tatizo hapo?
 
unga urafiki na Maria Sarungi pamoja na Hashim Lundenga wanaweza kuwa msaada mkubwa kwako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alishatoa tangazo humu na alishampata so nadhani tatizo lake lilishakuwa solved.
 
Du sasa nimemaliza darasa la saba B, mpaka nikipata Diploma Bashite atakuwa secondary.
Teh teh
Huta hangaika
Form one up to 4- unapiga maxmum 3 years. Unaenda diploma ya nursery teaching 2 years inatosha.
Bashite ana kua at least darasa la 2
 
Anataka kuwa Professor kama Tibaijuka, kwani kuna tatizo hapo?
[emoji28]
Ndio type ya wanawake nisio taka.
Sasa prof tiba unaambiwa prof tiba alikuwa pale udsm ana kaa ofisin mpaka saa 5 usiku
Hivi sasa familia ilikuwa ina lelewaje!!
 
emoji28.png

Ndio type ya wanawake nisio taka.
Sasa prof tiba unaambiwa prof tiba alikuwa pale udsm ana kaa ofisin mpaka saa 5 usiku
Hivi sasa familia ilikuwa ina lelewaje!!
Siku hizi kuna option ya kufanyia kazi za ofisini nyumbani, kuna emails, unafanya kazi unapeleka report kwahiyo hayo ya kukaa ofisini mpaka saa tano usiku yasiku yasukusumbue.
 
Back
Top Bottom