Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
- Thread starter
- #581
Unaongea na simu?Mimi nakuambia huyu dada yangu mzibe nimekupa ruhusa, ona sasa mambo anayokushauri...
Yani ukakate mauno hadi jimama liridhike likupe mtaji ndugu yangu mwenyewe hizo kilo 67 si zitabaki 40
Afu mkigawana huo mtaji na yy anaenda kuhonga ili apewe mauno.. Na dera lake kama namuona vile yuko peku peku.. Na hina zake mikononi hadi shingoni
Mimi na hina wapi na wapi!!!!