Sijakuelewa, tatizo ni kudhani kuolewa ndo kufika, sura au nini.Kwa iyo mtu akiwa na sura isiyokuridhisha humjali?
Unajua wakati wa uchumba mnajitengeneza sana, ukishafika ndani unajiachia, mvuto unapotea. Ni hilo tu.
Sijakuelewa, tatizo ni kudhani kuolewa ndo kufika, sura au nini.Kwa iyo mtu akiwa na sura isiyokuridhisha humjali?
Achana nae huyu hana hata alijualo
asante ndugu.........
ipo sana hii sijui kwanin asa ukiona hivyo mtu hamkubali mkewe na ukimuuliza sio kwamba mke kafariki...
. hapana unakuta mke yuko hai tu sema sijui hii kitu inatokana na nini kuna mmoja alisema hapendi kumuuzisha sura mkewe mwongo mkubwa hapo alishadanganya mtu kuwa kaachana mama watoto huyo anakuwa mchepukaji mchana kweupeee....
Kazi kulazimisha watu waliokwisha kuchoka wakukumbuke, jirekebishe unashinda na nguo moja tangu asubuhi mpaka jioni, nani nataka hizo harufu.
Unajua wakati wa uchumba mnajitengeneza sana, ukishafika ndani unajiachia, mvuto unapotea. Ni hilo tu.
Haya MTETEZI wa HAKI za WAKE....Ngoja waje wataalam watueleweshe🙂
Unajua wakati wa uchumba mnajitengeneza sana, ukishafika ndani unajiachia, mvuto unapotea. Ni hilo tu.
mhm!! best ni kweli ila sio wote wako hivyo
hakuna anayejiachia tu i
Habari za asubuhi.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo langu.
Kuna baadhi ya wanaume wana tabia ambayo mimi binafsi sipendezwi nayo kwa hakika. Mwanaume anakuwa anathamini watoto kuliko mke wake aliyemzalia hao watoto. Sisemi msiwapende watoto wenu ila mjitahidi kubalansi.
Utaona mtu yuko bize na watoto tu, weekend anachukua watoto anawatoa out,kama ni zawadi wanapata watoto tu.
Hata akiweka picha facebook ni kuweka watoto mwanzo mwisho, huoni hata siku moja kaweka picha ya mkewe au walau aweke wanae pamoja na mama yao. Niliwahi kuona mtu ameweka picha facebook eti 'bon voyage my daughter' nikajiuliza hivi huyu mtoto wa mwaka mmoja anasafiri hadi
Mwanza peke yake? Hata ukiangalia kwenye visimu vyao vya tochi huoni picha ya mkewe hata moja.
Hivi kuna sababu zozote za msingi zinazowafanya muwe hivyo? Huyo mwanamke ndiye aliyewaweka tumboni miezi tisa hao watoto unaojivunia, akaenda leba na hatimaye na wewe ukapata cha kujisifia mbele ya wanaume wenzio.
Hivi bado hamjui kuwa kuna wanawake wanatoa mimba? Au hamjui kuwa kuna watu walichezea ujana wao hadi leo hawana uwezo wa kushika mimba? (siwazungumzii wale wenye matatizo ya uzazi yaliyotokea kwa bahati mbaya)
Sasa kinachokufanya usimthamini huyu mwanamke ni nini?
Huyo ndo mkeo...ulimchagua kati ya maelfu uliowaona...na hayo matunda unayoringia umeyapata kupitia yeye. Mthamini mkeo.
Be proud of her.
Ni hayo tu
NB:
Sisemi muweke picha zao ziwe profile picture.....ile kuonekana mnajali uwepo wao japo mara mojamoja inapendeza
Kama ni kweli wapo baadhi, nami nawakumbusha hao baadhi akiwemo mleta mada, tatizo mleta mada Khantwe ameileta tayari akiwa na majibu na hataki akosolewe, hakuna jinsi ambavyo Baba anaweza kuhamishia mapenzi kwa watoto na kumsahau mkewe mrembo, kwanza ieleweke kuwa watoto ni matokeo tu, wakati mnafunga ndoa hamkuwa na uhakika 100% kuwa mtapata watoto, bila watoto maisha yenu yanaendelea tu mpaka mnapojaliwa kuwapata.
Neddy, sina tabia hiyo. Mama Caro akisafiri na Caro wetu nawatakia wote safari njema, fb na wazap zangu ni mama Caro baaas!
Achana nae huyu hana hata alijualo