Wanaume, huu si uungwana hata kidogo

Wanaume, huu si uungwana hata kidogo

Kamwulize mmeo kwa nini hakufanyii hicho unacholalamika, maana wengine tunawafanyia wake zetu. Wewe ulipokwishaolewa ukadhni ndo umefika unathani mume atakuwa na hamu na wewe tena, halafu lisura lenywe ndilo hilo, wacha ahamishie mapenzi kwa watoto.

Mbona umepaniki....unanijua kwani? Huoni aibu kupanikia kivuli?
 
Lakini nionavo mimi wanawake ndo wanaoongoza kuwapenda watoto kuliko waume zao. Utakuta mwanamke kabla hajazaa alikuwa anampenda sana mume wake lakini akishazaa tu idadi ya watoto anayojua inamtosha ujue basi hana habari na tena na kumjali mumewe na anatamani aachane naye ili abaki na watoto. Na endapo ataachwa kubaki na watoto, basi uje atawajaza sumu watoto ili wamchukie baba yao ili hapo baadaye afaidi matunda ya watoto peke yake. Wanaume wengi wanawajali watoto wao kwa kuweka picha zao fb tu, lkn ukichuguza au kufuatilia sana utakuta wababa hao hata matunzo hawatoi kwa watoto hao. Na ndio maana ni rahisi kwa mwanaume kumtelekeza mke na watoto wake lkn akampenda mwanamke mwingine ambaye mwenye watoto wasio wake.

Ubarikiwe mpendwa....well said
 
Neddy, sina tabia hiyo. Mama Caro akisafiri na Caro wetu nawatakia wote safari njema, fb na wazap zangu ni mama Caro baaas!

Hahahah... I doubt..!
 
Huko ni kutojiamini.....mbona na yeye ana account fb na instagram na anaweka picha? Watongozaji huko hawamuoni? Kwanza wanaanzaje kumtafuta....ina maana unapoweka picha yake unaweka na namba ya simu?

Kunguru muoga hukimbiza mbawa zake, kuna jamaa kila siku yeye alikuwa kumsifia mkewe kwenye social networks!! Si unajua kuna kutag ili naye ajue!!

Jamaa waamjua, ni binti respect sana lakini wanaume ni wabishi sana hatimae binti akaingia kwenye 18 za washikaji!! Jamaa kuja kushtuka mkewe anachange tabia, kufuatilia akagundua kila kitu.

Kuja kufuatilia link ya mawasiliano ni social networks, kule kusifia sifia ndiko kulikomponza jamaa wakadraw attention!! Walisameheana coz jamaa aligundua kosa lake but sharti la kwanza ni wote kufuta akaunti zao zote kwenye social networks.

So, mi nakwambia tokana na evidence na ukitaka ingine nikupe!!
 
Waulize hao kina mama wao ni mara ngapi wanawapa waume zao kipaumbele zaidi ya watoto au watu wengine???!!! usivutie kamba upande mmpja tu. kwanza hii tabia naona ipo sana kwa kina mama kuliko hata wanaume. yani mwanamke akishazaa motto kwenye ndoa basi attention yote inahamia kwa watoto wewe baba ujalijua jiji....... bora hata sisi kina baba tunakumbuka hata kununua vijizawadi vya hapa na pale kwa wake zetu......
 
Hahahah kaaz kweli kweli....lakini mimi sizungumzii hiyo tu ya kwenye social networks tu. Huyo jamaa alizidi naye....mi nataka mtu atambue uwepo wa mama wa wanae tu bas
 
Hivi kuinvest kwa mke uliyefunga nae ndoa bado unaona ni risk taking? Kaaz kwelikweli
Ndoa kitu gani Mamito. Wake-up, hiyo ni karatasi tu. Ndoa ngapi zimevunjika? Zamani ni sawa ila kwa sasa ni vyema ukainvest kwa damu yako tu. Hamchelewi kubadilika
 
we nawe mbn unajiingiza kwenye team ya watokwa povuu!!... hii yote ni nini hasa, kuwekwa kwenye profile pic. au? sasa watoto wako mwenyewe halafu unawaonea wivu kweli!! ..kawabemende basi ili wachukize mbele za watu....nyie ndo mnamwagia wanawake wenzenu uji usoni kwa wivu uliopitiliza kamu huu wako.

Sidhani kama mtoa mada ana wivu ulopitiliza, anachojaribu kuelezea ni kwamba haya mambo yawe na kiasi( too much is harm full).

Kama baba, anatakiwa kumjali mkewe na watoto pia, na si kuhamishia mapenzi yote kwa watoto.
 
Khaa! Hii ngumu kumesa wallah, kila me hapa hatokuemo ktk hao unaolalamikia! Ngoja mimi nijivishe hiyo tabia then nikujibu.

Kwanza kama hilo tatizo limekutokea wewe au whatever sio issue but mwisho wa siku utahitajika kutoa suluhu kwa wewe mwenyewe au kwa kushauri au vyovyote vile!

Pili hongera kwa kuliona hilo na kulijengea hoja.
Kutambua tatizo tu umeshalisolve kwa 50%, na kutambua tatizo ni kipaji wengine washindwa wallah!

Tatu kila me anaoa kwa malengo yake. Na wengine tunaoa ili tuwe na watoto, ni wapi tutapata mtoto na malezi bora yanapatikanaje, hapn ndio tunaoa. Kinyume na kupata mtoto mke huyo atapoteza sifa ya kuwepo ktk ndoa hiyo! Madhani unaona wagumba wanavyonyanyasika.

Nne kwavile tunahitaji mtoto kuliko mke hapo tunatofautiana katika kubalace upendo baina ya mke na mtoto! Wengime tunaamini mtoto ndio fraa yetu hawa wanawake hawabebeki hata uwaoneshe upendo vipi wataendelea kukuharas, may be mahusiano yangu ya nyuma ndio yalionipa mtazamo huo.

Tano kumuweka wife kwenye simu yangu au kwa fb si wengi tunaopenda hiko kitu ingawa tunaweza kufanya hivyo kama no 3 inavyoeleza hapo juu.

Sita usifosi uwekwe kwenye simu au fb ikiwa muekaji hapendi hiyo kitu. Zingatia haki zako za msingi na kama utahisi na hiyo ni haki yako ya msingi basi mueleweshe kwa upendo, but kibarua kitakua kigumu endapo na wewe kunavitu unamkera na ameshakuonya na haujatekeleza.
 
Waulize hao kina mama wao ni mara ngapi wanawapa waume zao kipaumbele zaidi ya watoto au watu wengine???!!! usivutie kamba upande mmpja tu. kwanza hii tabia naona ipo sana kwa kina mama kuliko hata wanaume. yani mwanamke akishazaa motto kwenye ndoa basi attention yote inahamia kwa watoto wewe baba ujalijua jiji....... bora hata sisi kina baba tunakumbuka hata kununua vijizawadi vya hapa na pale kwa wake zetu......

Mmmhhh....hivi ni kweli eeh? Lakini kina mama wana mengi ya kufanya kwa watoto pengine ndio maana wanakuwa bize...ampikie,afue ,amuogeshe...lazima itachukua muda wake mwingi
 
Kamwulize mmeo kwa nini hakufanyii hicho unacholalamika, maana wengine tunawafanyia wake zetu. Wewe ulipokwishaolewa ukadhni ndo umefika unathani mume atakuwa na hamu na wewe tena, halafu lisura lenywe ndilo hilo, wacha ahamishie mapenzi kwa watoto.

Sijakuelewa, tatizo ni kudhani kuolewa ndo kufika, sura au nini.Kwa iyo mtu akiwa na sura isiyokuridhisha humjali?
 
Ndoa kitu gani Mamito. Wake-up, hiyo ni karatasi tu. Ndoa ngapi zimevunjika? Zamani ni sawa ila kwa sasa ni vyema ukainvest kwa damu yako tu. Hamchelewi kubadilika

Duuuh nanjilinji mi hata roho yako ukinipa ntakutunzia kweli tena....kwi kwi kwi
 
Last edited by a moderator:
Hahahah kaaz kweli kweli....lakini mimi sizungumzii hiyo tu ya kwenye social networks tu. Huyo jamaa alizidi naye....mi nataka mtu atambue uwepo wa mama wa wanae tu bas

Hapo sasa, kutoka outing!! Mi sijui watoto watanilaumu, napenda tutoke wawili tu mimi na mke wangu. Watoto ni mara chache sana, ila nawatoaga kivyao na sie tunaenda kivyetu!

Huwa naamini kuna mambo mengine ya kimaadili ambayo watoto pamoja na wazazi hampaswi kuyaona kwa pamoja!!
 
Tatizo akina mamahasa mkisha zaa mnajiachia sana nmvuto wenu unapotea
 
asante ndugu.........
ipo sana hii sijui kwanin asa ukiona hivyo mtu hamkubali mkewe na ukimuuliza sio kwamba mke kafariki...
. hapana unakuta mke yuko hai tu sema sijui hii kitu inatokana na nini kuna mmoja alisema hapendi kumuuzisha sura mkewe mwongo mkubwa hapo alishadanganya mtu kuwa kaachana mama watoto huyo anakuwa mchepukaji mchana kweupeee....
 
Khaa! Hii ngumu kumesa wallah, kila me hapa hatokuemo ktk hao unaolalamikia! Ngoja mimi nijivishe hiyo tabia then nikujibu.

Kwanza kama hilo tatizo limekutokea wewe au whatever sio issue but mwisho wa siku utahitajika kutoa suluhu kwa wewe mwenyewe au kwa kushauri au vyovyote vile!

Pili hongera kwa kuliona hilo na kulijengea hoja.
Kutambua tatizo tu umeshalisolve kwa 50%, na kutambua tatizo ni kipaji wengine washindwa wallah!

Tatu kila me anaoa kwa malengo yake. Na wengine tunaoa ili tuwe na watoto, ni wapi tutapata mtoto na malezi bora yanapatikanaje, hapn ndio tunaoa. Kinyume na kupata mtoto mke huyo atapoteza sifa ya kuwepo ktk ndoa hiyo! Madhani unaona wagumba wanavyonyanyasika.

Nne kwavile tunahitaji mtoto kuliko mke hapo tunatofautiana katika kubalace upendo baina ya mke na mtoto! Wengime tunaamini mtoto ndio fraa yetu hawa wanawake hawabebeki hata uwaoneshe upendo vipi wataendelea kukuharas, may be mahusiano yangu ya nyuma ndio yalionipa mtazamo huo.

Tano kumuweka wife kwenye simu yangu au kwa fb si wengi tunaopenda hiko kitu ingawa tunaweza kufanya hivyo kama no 3 inavyoeleza hapo juu.

Sita usifosi uwekwe kwenye simu au fb ikiwa muekaji hapendi hiyo kitu. Zingatia haki zako za msingi na kama utahisi na hiyo ni haki yako ya msingi basi mueleweshe kwa upendo, but kibarua kitakua kigumu endapo na wewe kunavitu unamkera na ameshakuonya na haujatekeleza.

Asante mkuu umesomeka vema kabisa....nimekuelewa
 
Back
Top Bottom