akiweka pic huku zile nyumba ndogo kaziambia mkewe hapendi ana kaa nae tu kwa ajiri ya watoto itakuwaje??? nawaza tu wanaume tabu kweli, ila wadada sasa kila sehemu picha ya hubby ata akiwa hubby ushuzi tupo na mapic mpaka choonii
Nimeanza. Mdogo mdogoHahahah badilika mkuu