FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Hili ni Janga la kitaifa FL1 ukistaajabu ya musa utaona ya filauni,
Hapa mtaani kwangu kuna mama kafukuzwa H/G kaolewa Upo hapo?
Ngoja niulize swali kwanini hausi geli akiletwa ndani ya nyumba hata kama mwanaume hana uhusiano nae basi mama mwenye nyumba mwenye nyumba lazima awe na wasiwasi na atahakikisha anam-frustrate huyo HG hadi akome, lakini akiwepo Hausiboi hautaona mwanaume akihangaika nae sijui kuanza kuchunguza kama anatembea na mkewe
:Cry::Cry:nikimaliza ntaongea..uchungu jaman...
Mwalimu hapa unataka kusemaje?Mpaka tutaojifunza kuishi bila housemaids ndipo tutapomaliza tatizo.
Mwanamke anaweza kuondoka kikazi wiki nzima akamuacha housemaid na mume. Alitarajia nini?
Ngoja niulize swali kwanini hausi geli akiletwa ndani ya nyumba hata kama mwanaume hana uhusiano nae basi mama mwenye nyumba mwenye nyumba lazima awe na wasiwasi na atahakikisha anam-frustrate huyo HG hadi akome, lakini akiwepo Hausiboi hautaona mwanaume akihangaika nae sijui kuanza kuchunguza kama anatembea na mkewe
Wanawake mmezidi kero ndio maana matatizo yetu twayamaliza kwa mahausi geli.
Mkiolewa tu mnatoa makucha yenu yenye ncha kali... Thats a big prob
Mpaka tutaojifunza kuishi bila housemaids ndipo tutapomaliza tatizo.
Mwanamke anaweza kuondoka kikazi wiki nzima akamuacha housemaid na mume. Alitarajia nini?[/QUOTE]
Gaijin wewe kwa hiyo tusisafiri kikazi?? na siku hizi ndo wanasema mambo kusaidiana?? Mama analeta 50,000 baba 50,000 hapo tayari 100,000. Tukikaa home tu itakuwaje???
juju doesnt lierHili ni Janga la kitaifa FL1 ukistaajabu ya musa utaona ya filauni,
Hapa mtaani kwangu kuna mama kafukuzwa H/G kaolewa Upo hapo?
Jana kuna mada ilikuwa inazungumziwa kwenye radio flani juu ya hili ila wao waliuliza kwa nini wamama hawataki mahousegirl wazuni kushinda wao?.........mh kwa kweli kazi tunayo.
Mi mnantisha mjue!!