Wanaume: Hivi kwanini hatuwasifii wake zetu?

Wanaume: Hivi kwanini hatuwasifii wake zetu?

Mtamu ndio.
Amejaa jaa, light skinned, nyonyo saa 6 kasoro robo, ushuzi upo wa kutosha. Dadeki kila alfajiri bila kumpanda siku nzima ntahisi na nuksi. Lol

Ole wake atakae lamba asali yangu. Nambikiri....
 
Don't kiss and tell, sio kwa mke tuu hata hawara/mchumba au demu
 
Subutuu tuwasifie muwamendee khaa! Tusitafutane ubaya.
 
Siwezi kuuza ramani ya vita kwa wapinzani, neva eva
Mkuu umenifurahisha sana.
Kwani hata humu jukwaani kuna maadui wanaokutambua kiuhalisia mpaka uogope?
Na huko nje kwenye vijiwe,kwa nini uogope kumsifia mkeo kivyovyote vile? Ina maana humuamini mkeo kiasi hicho kwamba majamaa wanaweza kumuomba kuhakikisha sifa unazompa na yeye akawakubali?
 
huyu jamaa hajaoa
ngoja kwanza agongewe demu wake mumsikie atakavyokuja mbio
jamaa yangu kua uyaone
Ndoa zina mambo si trela ya picha
 
Kweli Akili ya Mwanaume IKO mashineni mwa Mke.

Swali Rahisi tu .. !

Watu wamekuwa Wakali utadhani wameshambuliwa na mnyama mwitu.

What's wrong with you guys .. !
 
ukimsifia tu...wenzio wanakuchapia mkeo na maumivu yake utatamani siku zirudi nyuma usisimulie au ukawapumbaze jamaa!!!
 
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake..... n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo ktk mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?
Wazee wenzangu ebu tujadili kwa nini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

Jaribu kumsifia uone watu wanavyo changamkia fursa utajuta.
 
Hahaha
Mke bwana hapaswi kufanyiwa issue hizo
Lazima aheshimike bwana ila kwa demu ruksa kumfanyia hivyo koz huna future nae.....
Usithubutu kabisa kaka yangu
Mfanyie hivyo demu sio MKE
Mke Wa kuheshimiwa mno
Hata kama Uwe unamwamini kiasi gani usithubutu kabisa kwani hata yeye akisikia kuwa umemfanyia hivyo atakushangaa Njo Vile
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake..... n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo ktk mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?
Wazee wenzangu ebu tujadili kwa nini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

Hapana usijipe cheo cha uzee wewe sio mzee, wazee hawana post za namna hii...!hizi ni post za ujanani post ambazo waletaji wengi hawako kwenye ndoa bali ni mahusiano ya girlfriend na boyfriend, na ni watu ambao hawana majukumu kivile ya kifamilia
 
Duuh kwel kazi. Kumsifia mkeo mambo ya chumbani ni sawasawa na kumvua nguo mbele za watu na kumwacha kama alivozaliwa. Mke lazima atunziwe heshima yake bana.
Lakini pia hata kama mke wako anatabia mbaya si vizuri kumtangaza kwa marafiki zako..
 
Back
Top Bottom