Wanaume: Hivi kwanini hatuwasifii wake zetu?

Wanaume: Hivi kwanini hatuwasifii wake zetu?

Hahaha
Mke bwana hapaswi kufanyiwa issue hizo
Lazima aheshimike bwana ila kwa demu ruksa kumfanyia hivyo koz huna future nae.....
Usithubutu kabisa kaka yangu
Mfanyie hivyo demu sio MKE
Mke Wa kuheshimiwa mno
Hata kama Uwe unamwamini kiasi gani usithubutu kabisa kwani hata yeye akisikia kuwa umemfanyia hivyo atakushangaa Njo Vile
Akisikia am sure atafurahi, but huko nje kunani hatufunguki?
 
Me naona utakuwa unataka mkeo asumbuliwe tu ili ukasirike vizuri Njo Vile
 
Last edited by a moderator:
Hapana usijipe cheo cha uzee wewe sio mzee, wazee hawana post za namna hii...!hizi ni post za ujanani post ambazo waletaji wengi hawako kwenye ndoa bali ni mahusiano ya girlfriend na boyfriend, na ni watu ambao hawana majukumu kivile ya kifamilia
American call all guys! Ebu mwambie Mmarekani amezeeka uone kama urafiki haujavunjika, Imean love ni kwa wote, siwabagui wazee kwa maana ya umri, hata kama uko 20s you are mzee so long unajitegemea na una kipato. Take note: post hii inapendeza kwa waliooa/wanaotarajia tu
 
Nimweleze wife tukiwa
Me, wife na close friend halafu nione reaction ya wifey ama sijakusoma???? Njo Vile
 
Last edited by a moderator:
Kama unakubaliana na mimi 100% kuwa wife wako atasumbuliwa iweje uendelee kuwa mkaidi kutaka kuwaambia public about your wifey love affairs ....
We mbishi kweli njo vile Njo Vile
 
Last edited by a moderator:
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake n.k.

Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo katika mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?Wazee wenzangu ebu tujadili kwanini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

hapo kwenye red ndo catch phrase sonny boy! mkiwa vijiweni...

the point is waliioa wengi ni wanaume (in contrast to wavulana) na wanaume wanakuwa wameshavuka stage ya kukaa vijiweni na kuhadithiana mambo ya faragha yanayotokea kati yao na wapenzi wao...ukiona mtu anapenda sana kukaa na wenzie na kuhadithia yaliyojiri akiwa kwa bed na mwandani wake (haijalishi kama ni status ya mke, hawara au mchumba) basi huyo ujue upstairs kuna walakini....

ndo hao ambao wana uwezo wa kuwapa "chabo" wenzao wakati wenyewe wakiwa "wanashughulika"!!!!

For Gods sake, haya mambo ya kuhadithiana mambo ya mapenzi, I did that shit when I was about 15...and still it was very awkward on my part!!!!
 
Hapana usijipe cheo cha uzee wewe sio mzee, wazee hawana post za namna hii...!hizi ni post za ujanani post ambazo waletaji wengi hawako kwenye ndoa bali ni mahusiano ya girlfriend na boyfriend, na ni watu ambao hawana majukumu kivile ya kifamilia

hata opening sentensi yake ya "wanaume tumezoea...." mimi siikubali...kuna tofauti kubwa kati ya "mwanamme" na "mtoto wa kiume".....this shit ya kuhadithiana vijiweni mambo kama hayo ya maungo na utaalamu wa mwenza...you have to be fourteen to enjoy it
 
hapo kwenye red ndo catch phrase sonny boy! mkiwa vijiweni...

the point is waliioa wengi ni wanaume (in contrast to wavulana) na wanaume wanakuwa wameshavuka stage ya kukaa vijiweni na kuhadithiana mambo ya faragha yanayotokea kati yao na wapenzi wao...ukiona mtu anapenda sana kukaa na wenzie na kuhadithia yaliyojiri akiwa kwa bed na mwandani wake (haijalishi kama ni status ya mke, hawara au mchumba) basi huyo ujue upstairs kuna walakini....

ndo hao ambao wana uwezo wa kuwapa "chabo" wenzao wakati wenyewe wakiwa "wanashughulika"!!!!

For Gods sake, haya mambo ya kuhadithiana mambo ya mapenzi, I did that shit when I was about 15...and still it was very awkward on my part!!!!

Let others do what you don't!
 
hata opening sentensi yake ya "wanaume tumezoea...." mimi siikubali...kuna tofauti kubwa kati ya "mwanamme" na "mtoto wa kiume".....this shit ya kuhadithiana vijiweni mambo kama hayo ya maungo na utaalamu wa mwenza...you have to be fourteen to enjoy it
If you dindt happen to kuna stage ya makuzi umeruka bro, and for sure uta -supp. tu!
 
Capt Nemo uko sahihi kabisa kaka.....
Hapo siwezi kushangaa kwa hao wanaowasimulia marafiki zao about the bed kuwaambia waje wajihakikishie kwa chabo madirishani
Hiyo possible kabisa Capt Nemo
 
Last edited by a moderator:
Njo Vile

wee..kisa cha kumfunua mkeo nguo mbele za watu ni nini?!..msifie mkiwa wawili...usije ukamsifia mkiwa na washkaji wakatamani kuonja kama ni kweli, mkeo akapata tamaa akaingia mkenge..ebu acha hizo bana
 
Last edited by a moderator:
If you dindt happen to kuna stage ya makuzi umeruka bro, and for sure uta -supp. tu!

kama umesoma post yangu kuna mstari nimeandika "you have to be fourteen to enjoy that"...you got your eyes with you right now, don't you? doing something at 14 sio kuruka stage buddy!!!!
 
Back
Top Bottom