Uwezekano wa elimu yako kuwa ndogo sana Aau mental age kuwa ndogo ni mkubwa sana, kama ni shule zakuunga is up to you.
Plagiarism is something very different, in short, , is about taking someones work to be yours.
Mental age sio experience wala wisdom. Ni kasi ya ukuaji wa akili, kuna watu wana miaka 7 lakini menta age ni miaka 28, tafuta watoto waliograduate degree chini ya miaka 15. Pia wapo watu kama wewe uakuwa na miaka 31 but mental age yako ni miaka 14. ndicho ninachokisema
Chronological age ni miaka ya kuzaliwa inaweza ikaendana na mental age au isiendanne, mental age inawewza kwenda kasi sana au polepole sana na hata inaweza kusimama mahali.
Hope unanipata Capt Nemo
kaangali kwenye kamusi ---- neno demu............
Mke ana heshima yake..... kamwe huwezi tangaza utamu au machine ya mkeo inavyonyumbua uume wako..... but kusema huyo DEMU nshagonga,,, nikajaribu kuingia uvinza,,, hiyo harufu ya kojooo... ila nnato mbaya.....
hapo utanielewa bana hekimatele
Daaah
Najitahidi lakini waaaapii
Well, kwako wewe mental age ni kasi ya ukuaji wa akili..kwangu mimi ukuaji wa akili ni mental growth (speed)..na kitu kinapogrow mpaka mahali fulani ndo tutasema imefikia age flani..but then a mentally-retarded person kama wewe atapata shida hata kuelewa nimeandika nini hapa
Yeah, tell me about shule za kuunga..seems you know better about them...coz akili yako ya utambuzi ni ya kuunga unga then it follows that elimu yako ni ya kuunga unga
ulichojaribu kufanya kwenye post yangu ya awali, sucker, ni mtu kuandika "barabara" wewe ukaandika "njia kubwa kubwa ya magari na watu, yenye lami na taa za kuongozea traffic!!!then katika kujitetea ukaandika utumbo....talk about mental age!!!!!
No wonder unaona ni sifa kuropoka mbele ya marafiki kuwa mkeo ana papuchi kama mtaro au ni tamu, sijui nini blah blah blah..it is a very good indicator of your mental growth..next tym you will be suggesting kumsifia mzazi wako wa kike in that capacity
Some of us did that shit ya kuongelea mambo kama hayo ya wapenzi wetu at 14..kama you are 14 ndugu mleta mada, well and good, kama sio basi yor mental age is 14 or thereabout and you need to grow up
Happy mental growth, sucker!!!!!!
.......mmmh!! sometimes to be husband is not easy. Can you expose information about your wife to others, ili iweje?
Unanilazimisha kukufundisha vitu tulivyojifunza long ago, any way kwa vile nimekuelewa unahitaji elimu ambayo huna, soma hapa:
Mental Age: Definition & Explanation | Study.com - Tafadhali elewa vizuri hizo tofauti (difference). Sina hasira tena, hapa tunaelimishana bwana. Kila la kheri
Noted mkuu, sometimes discussion is for people - plenary, not necessarily those issues to be practical.Its funny to know kwamba ulikuwa na hasira na good to know kuwa huna hasira tena.....while I may find time to read materials in the link you provided, please make my day by acknowledging that you have learnt kwamba taking about wives, their proficiency in bed, and the state of their private parts is the shit that any married therefore grown up man should not even think of doing
So long
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo katika mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?Wazee wenzangu ebu tujadili kwanini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?
Vijiweni: sehemu za kazi, bar, club, mikutanoni (mida ya break), vibarazani, kunywa kahawa,n.k.