Wanaume: Hivi kwanini hatuwasifii wake zetu?

If you dindt happen to kuna stage ya makuzi umeruka bro, and for sure uta -supp. tu!

kwa kuwa mada ni kusifia wake zetu then it sums kuwa it is about married men.....and if you are married and still think bado unapita katika stage za makuzi then you have got another thinking coming your way!!!!! unless where you live people marry in their adolescence stage
 
Bro, stage za makuzi huenda mpaka uzeeni!! ndo maana mambo mengine huruhusiwi kufanya ukiwa na umri mdogo, mfano urais you have to be 41
 
Sifa za mke wa mwenzio wewe zina kuhusu nini....utamu wa mke wa mwenzio wewe unakuhusu nini..ubaya wa mke wa mwenzio wewe unakuhusu nini.????......MAMBO YA MKE WA MWENZIO WEWE YANAKUHUSU HADI UNATAKA AKUAMBIE.??? WEWE KUNGWI AU KAMA NANI??...Haya ndio madhara ya NDOA za balehe......
 
Mgema akisifiwa tembo ulitia maji
 
Vitu vingine anasifiwa akiwa faragha tu...
 
Bro, stage za makuzi huenda mpaka uzeeni!! ndo maana mambo mengine huruhusiwi kufanya ukiwa na umri mdogo, mfano urais you have to be 41

unachanganya kati ya "kukua agewise" na "ku-accumulate experience na wisdom" au "to get seasoned"
 
refer kuna kitu tunaita chrolonical age na pia mental age, unaweza kuwa na miaka 50 ila akili yako ina miaka 25, refer that
 
Mimi:
"Kuna tofauti kati ya kukua agewise..."

Wewe:
"refer kuna kitu tunaita chronological age..."

Mimi
"...na ku-accumulate wisdom, experience, au "to get seasoned"

Wewe
"...na pia mental age..."

May someone please tell me the meaning of plagiarism!!!!!!
 
refer kuna kitu tunaita chrolonical age na pia mental age, unaweza kuwa na miaka 50 ila akili yako ina miaka 25, refer that

Bro, stage za makuzi huenda mpaka uzeeni!! ndo maana mambo mengine huruhusiwi kufanya ukiwa na umri mdogo, mfano urais you have to be 41

Yeah,..sure..like Nyerere, Samuel Doe & co. were!!!!!!
 
Pana haja ya masomo ya jando na unyago yaingizwe penye mitaala yetu ya elimu maana kukurupuka kama huku kutapungua.Hivi unaanzaje kumsifia mkeo kijiweni kuwa anayaweza?
 
Mimi:
"Kuna tofauti kati ya kukua agewise..."

Wewe:
"refer kuna kitu tunaita chronological age..."

Mimi
"...na ku-accumulate wisdom, experience, au "to get seasoned"

Wewe
"...na pia mental age..."

May someone please tell me the meaning of plagiarism!!!!!!

Uwezekano wa elimu yako kuwa ndogo sana Aau mental age kuwa ndogo ni mkubwa sana, kama ni shule zakuunga is up to you.
Plagiarism is something very different, in short, , is about taking someones work to be yours.
Mental age sio experience wala wisdom. Ni kasi ya ukuaji wa akili, kuna watu wana miaka 7 lakini menta age ni miaka 28, tafuta watoto waliograduate degree chini ya miaka 15. Pia wapo watu kama wewe uakuwa na miaka 31 but mental age yako ni miaka 14. ndicho ninachokisema
Chronological age ni miaka ya kuzaliwa inaweza ikaendana na mental age au isiendanne, mental age inawewza kwenda kasi sana au polepole sana na hata inaweza kusimama mahali.
Hope unanipata Capt Nemo
 
Back
Top Bottom