Wanaume: Hili la 'sex before marriage', Mungu anawaona!

Habari wana JF, wakubwa shikamooni,

Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.

Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti amzalie mtoto ndo amuoe eti asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa ni nini?

Na je zipo sababu nyingine out of love?
Kama hutaweza kaa bila kuolewa,kila dhama na namna zake,nenda nazo hvyo hvyo,au kama ni wewe vipi ukichumbiwa na mpaka kufunga ndoa ukashangilia kweli kweli afu baada ya ndoa siku hiyo usiku ndo unagundua mumeo hana nguvu za kiume,utafanyaje?
 
Sikuizi kwa wadada pia inaaply sana...maisha yamebadilika sana. Anyways kama wewe hupendi kufanya mchezo, whether you are a believer or una misimamo yako flan flan bora usifanye tu. Kuna wanaume wapo watakao vumilia though Ni dhahiri kua wako wachache mnooo...Pia cha muhimu don't let anyone forces you to have sex...Fanya kwa sababu umetaka not bcz mtu kakuforce kufanya. Uaminifu umeshuka sana sikuizi... Mwanaume haamini kua mwanamke anaweza kukaa bila kugawa nje, Mwanamke pia anataka kujua maumbile ya mwanaume na utendaji wake kitandani.... So ukiangalia hapo Ni suala LA uaminifu linatawala. Pia kuna kitu kinaitwa sexual compatibility...Are we sexual compatible?? Ni swali ambalo wapenzi wengi huzingatia sana ktk penzi lao kabla ya kwenda hatua ya ndoa... Cha muhimu kwa kila mtu especially ladies ni
1. set your limits
2.know what you want at what time
3.Elewa the whole scenario kuhusu haya mambo ya sex b4 marriage kabla hujafanya maamuzi
4.Usifanye maamuzi kumridhisha mtu mfano usizae tu eti kwa sababu mwanaume anataka umzalie ilhali hajakuoa

Angalizo: Kama wewe Ni believer(christian,Muslim), Sex b4 marriage is a sin before God.

[HASHTAG]#Nawasilisha[/HASHTAG]
 
In short hakuna mtu asieuelewa mwili wake mwenyewe...ndoa kwa asilimia kubwa inajengwa na uaminifu mkubwa kat yenu hasa hasa kabla ya ndoa.Mkiaminuana mtaambiana kila kitu ikiwa n pamoja na changamoto kama hzo....na hapo ndio upendo hupimwa..kama kakupenda kwel atajarb kukusaidia badala ya kukuacha
 
Asante nmekuelewa mkuu
 
kiufupi jitihada zako za kumsaka mtoto kabla ya ndoa zikikwama hutaoa..pole sana wazinzi
Binafsi niujua uchi wa mwanamke mmoja tu maisha yangu na nilizaa naye kabla ya ndoa hadi leo nipo nae...Namshukuru Mungu kwa kunikinga na uzinzi maana isingekuwa mimba ningeendelea kufanya zinaa na wanawake wengine.
 
Habari wana JF, wakubwa shikamooni,

Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.

Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti amzalie mtoto ndo amuoe eti asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa ni nini?

Na je zipo sababu nyingine out of love?
Lazima mtu utest mzigo uridhike nao kuepuka matatizo yanayozuilika mbele ya safari.
 
Milele mbali sana sasa unapo kuwa na makubaliano ya kuishi na mtu mpaka huko milele huwez kumnyima asali yako na vilevile itakupa mwanga wa kuwa na mtu mwenye saizi uipendayo na huwezi kuleta malalamiko kuwa Mme wangu ana kibamia Mara ooh ana mzigo unaniumiza mkipeana wakati hamjaingia kwenye ndoa kila mmoja atakuwa karidhika na maumbile ya mwenzie
 
In short hakuna mtu asieuelewa mwili wake mwenyewe...ndoa kwa asilimia kubwa inajengwa na uaminifu mkubwa kat yenu hasa hasa kabla ya ndoa.Mkiaminuana mtaambiana kila kitu ikiwa n pamoja na changamoto kama hzo....na hapo ndio upendo hupimwa..kama kakupenda kwel atajarb kukusaidia badala ya kukuacha
We jidanganye tu,unadhani tumekua jana,ni vizuri kuishi kama usemavyo na usizani hatujui ulichosema kwenye mada yako,lakini wewe binafsi bila kutuambia sisi yaishi hayo ulosema uone kama hutatamani kutafuta dunia yako yenye watu wapya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom