Wanaume: Hili la 'sex before marriage', Mungu anawaona!

Kwani ndo chanzo chake n kipi kama ni dini ndo imeanzisha basi hamtakiwi kudhini kabla ya ndo ila kama ni mfumo tu wa maisha ya binadam lolote laweza kuwa ni nyinyi tu wenyewe
Yah bt asilimia flan wakaka mna ushawish mkubw ktk hl na et dada akikataa bas uvumiliv unakushnda
 
Sometimes it happen, Ina faida kwa mdada na kwa kidume, kwanza kila mmoja anaona anaridhika na mwenza wake kuhusu maumbile yake na uwajibikaji wake ndani.
Kuna Vijana Jogoo hawiki kabisa kwa 100% halafu kakutongoza na anakuoa sasa itakuwaje?? Ishatokea tunakopoa kule kijana alimwambia dada wa watu sikugusi mpaka ndoa, daah kumbe ana mapungufu mpaka leo hawana mtoto (japo hili lipo nje ya uwezo wetu) lakini naongelea habari za ndani.

Sichochei uzinzi lakini changamoto za mahusiano hasa kwa watu ambao hamfahamiani mnabebana mpaka kanisani daah harusi inaweza geuka kilio baadaye.
 
Habari wana JF, wakubwa shikamooni,

Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.

Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti amzalie mtoto ndo amuoe eti asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa ni nini?

Na je zipo sababu nyingine out of love?
Shake before use unaweza kukuta dawa kwenye chupa ishaganda.
Mtu ushatumiwa na wengine halafu eti unamwambia mtu hakuna kukutumia mpaka akuoe weee...
 
inabidiii tutafuneeeeeeeeeeeeeeeee sanaaaaaaaa kabla ya ndoaa
ili tujue yaliyomo ndani ya kitabu na si kudanganywa na Tittle ya kitabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom