Wanaume: Hili la 'sex before marriage', Mungu anawaona!

Habari wana JF, wakubwa shikamooni,

Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.

Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti amzalie mtoto ndo amuoe eti asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa ni nini?

Na je zipo sababu nyingine out of love?
Je we ungependa ukaingia kwa ndoa ukakuta jamaa Ana kidudu kama kidole cha mwisho aka kibamia?? Si utatoka nje. So ndio maana na sisi tunajaribu ili tusilaumiane huko mbele
 
Ww miaka 22 unaanza kuulizia mambo ya ndoa...soma kwanza
acha nyeli na dhihaka, usijifikirie kwamba wewe ni mwerevu sana kuliko ufahamu wa mleta mada... wewe si yoyote kwenye maamuzi yake, 22 akasome nini ambacho amekiacha kitakachomfanya asiwe huru kuulizia masuala ya ndoa? ujuaji ukizidi huondoa busara... umejichoresha vibaya sana mkuu, huwezi elewa
 
Uwasubirie akina nani???.......tupe jibu kwanza wewe kwa sababu wewe ni kinara wa sex before marriange na ile style yako ya kukaa juu!!
mimi tatizo ni genye sasa miaka yangu ni mingi nikisema nisubirie hiyo marriage naweza kufa na amutamu yangu bila kujua utamua wake.. sema uzuri tunanafasi ya kurekebisha basi
 
Uwezi kununua bidhaa bila ya kuijarubisha. Kuna mambo mengi sana tunatakiwa tuyajue kabla atujawaweka ndani.
 
Kuonja na kula n vitu viwil tofaut...sometimes mnaishia kuonja na kufunika dats why hatutak kuonjwa onjwa
Hutaki nini sasa wakati unajua wewe si bikra, unakataa sasa unamtunzia nini huyo unayemwambia hadi ndoa?
 
Sex before marriage sio la wanaume peke yao, uliza wanawake wenzako. Kama utapata 50% tu ya wanaokataa sex before marriage itakuwa ajabu sana.

Hata wadada wananogewa jamani, sio rahisi kujibana sana miaka hii, though it's a good thing.
 
Mleta mada atakuwa ni bikra anaogopa kutolewa bikra yake. Shake well before use.
 
Habari wana JF, wakubwa shikamooni,

Samahani kama nitawagusa ila nimekutana na wakaka wengi na katika mazungumzo wengi wanapenda SEX BEFORE MARRIAGE.

Mwingine akadiriki hata kusema anataka binti amzalie mtoto ndo amuoe eti asijekuwa ameuziwa mbuzi kwenye gunia.

Naomba kuuliza sababu hasa ya kuoa ni nini?

Na je zipo sababu nyingine out of love?
hata mungu anajua kuwa viumbe wake mmepotoka ,tena kwa ushauri wangu ilitakiwa kabla ya kutoa kishika uchumba muanze kuishi wote umsome mwenzio ukiona hafaiiiii unachukua mwingine
 
Midogo sana kuingia kwny ndoa
Ndoa ni jinsi ulivyo jipanga na maelewano yenu wala miaka haihusiki hapo hiyo miaka ni mapendezo ya watu kuwa umri fulani unafaa kuoa na kuolewa,
Ila ukijitambua na kuelewa nini unafanya wala hupati tabu kwa hiyo miaka its just a whole number......

 
Sababu kubwa ya kuoa, ni kutengeneza familia. Na tendo la ndoa ni kati ya viungo muhimu sana katika familia. Ngono(kabla ya ndoa) ni kwa ajili ya kuangalia kama tunaendana(chemistry) katika nyanja hiyo.

Some couple get along real fine in every aspect but sex, for some reasons beyond them. So if there are any sexual tensions/issues between us, I'd like to deal with them because I want to, not because I have to.

Only way I'd ever sign up for no nasty before I DOs, is if she has everything intact, and not otherwise.
 
3a7a37c15e3068930081daa8f63fccce.jpg

3a1f1f8b5788fd2fda2a7f6010b7b9d1.jpg
db3866911c0f1436422c23cf1db6537c.jpg
ef39111aa210eafa1db6b3fae33ba52e.jpg
ed8a353abc87ab9efc8841e17b94eddc.jpg
d5922cf3e6fcb429d5d0919cba34c0c9.jpg





No sex mpaka ndoa...

kazi kazi...!!
 
Na ikitokea umeoa mkakosa watoto inakuwaje? Coz watoto n matokeo tu ktk ndoa..naweza sema n baraka tu za mwenyez Mungu
Ili kuepuka hilo la kukosa watoto baada ya ndoa kufungwa ndipo inapaswa kutafuta mtoto kwanza, ndoa baadae.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom