Nitumie hiyo pasport size kwa siri ili niweze na mimi kutoa tathmini ya haki kama huyo jamaa ni fisi tu, au alistahili kuingia majaribuni.

Maana usikute mtoto jicho kama la huyu jamaa hapa na hivyo kumvuruga Baharia wa watu.
Kizuri kula na mwenzio baba mkuu
 
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.

Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.

Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .

Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?

Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.

Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Wenzako wanamaliza mwaka mzima hakuna wa kuwatongoza,kwa usawa wa sasa hivi Ukiona sisi Wanaume tumekutongoza,Shukuru, kwasababu ni bahati ya pekee.Sasa kwa ushauri zaidi, twende zetu PM.
 
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.

Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.

Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .

Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?

Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.

Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Umekereka na nini sasa hapo? Kwani kakutukana?

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake mnashangaza!Sasa kosa la huyo jamaa ni nini mpaka uanzishe mada?Wanaume wajibu wetu ni kutongoza,wanawake mna hiyari ya kukubali au kukataa.Unalalamikia approach aliyotumia?.Hiyo ndiyo aliiona convenient kwake.Wee mjibu au kausha atajiongeza.Chaguo ni lako.
 
Stop wasting time kama unataka mpe na kama hutaki just tell him dont make this a very big deal!Acha uswahili uzungu ni kuwa direct!
 
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.

Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya dk 20 mtu akanifuata inbox kunisabahi, bila hiyana nikamjibu.

Kilichonushangaza zaidi ni kuniambia amenipenda baada Aya kuona profile picture yangu na anaomba Leo niende nyumbani kwake .

Hivi hii inamake sense kweli?mtu humjui, then anaomba niende kwake, tukaonane, at least ata angesema anaomba Kwanza ntukutane somewhere tujuane , yaani anahisi anaweza NILA KIMASIHARA?

Em jamani wanaume mjifunze process za kumu approach mtu ,si Kila mtu anaalika KIMASIHARA aisee.

Unamuona mtu Kwa dp unababaika wakati Hana uhakika kama hiyo picha ni yangu kweli. Nimekereka khaswaa.
Mwamba kazingua.
 
Hanifahamu, story nyumbani kwake
So me nikikuita tupige story pale Azure utachukulia hivyo? Kwamba kila anaekuita anataka ku do? What if it's business issues nmeona kwako itakua simple wote kutoboa?
 
Back
Top Bottom