Wanaume hii maana yake nini?!

Sasa kama hamfahamu kwa wanaume wa kiislamu kupaka wanja ni sunna ! Semeni na hapo !
 
Haya ni kwa sababu wanaadamu waneacha kutumia akili zao barabara na kutenda kulingana na matakwa ya hisia zao......
Mwanadamu mwenye akili timamu na yenye afya hawezi akaona uhalali wa kumuingilia mwanaume mwenzake ili hali kuna wanawake kibao....

Matendo ya wanadamu wa nyakati hizi yanatutoa katika ule ustaarabu wa asili tulioumbiwa kama wanadamu....hatuna tofauti na wanyama wa mwituni kwani hata wao hawajawahi kuingiliana wanaume kwa wanaume.....

Haya magumu tunayopitia wanadamu kwa nyakati na matokeo ya matendo ya laana tunayoona kuwa ni fahari kuyatenda.....
Mambo yote yaliyopingwa na mwenyezi Mungu ni kwamba yana madhara kwa wanadamu.....
 
Mambo ya kike yanaishia wapi? I seen bros rocking cornrows, rocks in they ears and noses, tight pants...hayo pia ni mambo ya kike??

 
Mambo ya kike yanaishia wapi? I seen bros rocking cornrows, rocks in they ears and noses, tight pants...hayo pia ni mambo ya kike??


Do you see man wearing ear piece and plait hairs a man's habit? Are you appearing like this man in the pic? Ooooh no, now I understand why you have been rejecting being in sail with Saul.

How are you by the way? Leave alone this propaganda words, the issue of man act woman's acts is not good at all
 
Sina jibu, lakini hatutatunga sheria ya kuwafunga au kuwanyonga. Tulichoamua huku kwetu mitaani, anapojitokeza roho yake ni halali yetu kama washona wa kwa Mugabe, maana anawatia uchungu akina dada kwamba hawawezi kazi.
 
We mdada? Hakuna cha mila. Ni tabia ya kuiga. Hata huko magharibi hatuna wanaume beatifull, wanakuwa handsome. Wanaume hawana beauty contest ni akina dada tuuu!

Huyo mlebanoni wako, mjaribu mambo mengine uone. Usijekuta tayari ameshapungukiwa baadhi ya sifa za uanaume!
 
Kibongo bongo huwezi kuwa metrosexual bila ya kuattract negative attention. Personally, I think its a problem when you become obssessed with it.
 

I don't do none of that, was just debating.

Anyway, I'm good, thanx. Zawadi ziko wapi sasa?
 
Hayo mambo ya kujaribu usimshauri mwenzio.. Kuna kajarida nilikasoma, jamaa alikuwa anavaa kike kike na kujiremba remba kama mwanamke.. Kumbe target yake ni kuwalamba wanawake ambao wana curiosity kubwa kuhusu yeye.. Alikuja kuwalamba mtaa mzima.. Mpaka kuja kustuka kala mpaka wake za watu ![emoji57] [emoji57]
So we mshauri tu huyo akamjaribu huyo mlebanon aje akimbie lodge na pichu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bado sijaingiza miguu yangu kwny beseni isuguliwe
 
Hivi kwa Nini mwanaume umfire mwanaume mwenzio wakati wanawake wapo kwaajili yetu?
nilikuwaga nasikia mshakaji fulani ni hivo naye anawala ila nikaja kufanya uchunguzi nikajihakimkishiakwa asilimia mia anakula wanaume wennzie nyuma yani anakula mashoga....dunia hii iko uchi aiseee maajabu ndio hayo mambo ya ajabu tuu....af mtu wa kawaida wala huwezi tarajia.....ukike hauoneshi zaidiya kupenda luxury life so utata hapo
 
Ishi maisha yako, acha wengine waishi maisha yao kama hawakuingilii maisha yako.

Hii ni kanuni ya msingi kabisa.
 
Ishi maisha yako, acha wengine waishi maisha yao kama hawakuingilii maisha yako.

Hii ni kanuni ya msingi kabisa.

Kama wanakuingilia maisha yako je...................?????
 
Huyo kama si shoga basi shosti... hatua za mwanzo kuelekea ushoga
 
Kama wanakuingilia maisha yako je...................?????
Hapo utaangalia jinsi ya kusuluhisha mgogoro kwa namna bora kabisa yenye kuzingatia maadili na maslahi ya pande zote na jamii kwa ujumla.

Si jambo rahisi kwa sababu mara nyingine uhuru wa mtu mmoja unaingilia uhuru wa mtu mwingine.

Ni kama ukiwa na jirani ambaye yupo kwake anasikiliza muziki kwa sauti ya juu kwa mujibu wako, lakini yeye anaona si ya juu halafu yupo kwake. Inatakiwa diplomasia na akili kusuluhisha bila kuongeza mkwaruzano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…