Wanaume hii ikoje?

Wanaume hii ikoje?

Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking....''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature). Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee!!! hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.
Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yanguuu... au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri...au shemeji yenu kanitengeneza. Coz kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.

Mkuu hapo kuna ukweli maana hata mimi kuna shida naipata wakati flani.
Naweza kumtaka mdada hata kwa muda mrefu sana na siku akikubali hata kama sijavunja nae amri basi hua najuta moyoni kwanini nimemtongoza!!? Hua najiona mkosefu sana na hii imenifanya niache kutaka kutongoza kwa asilimia kubwa hata kama nikiwa single.
 
Soma tena kwa utuo kaka, then ongezea na hii.
Kipindi kile (usiniulize lini) kuna baadhi naweza kujiridhisha ....huyu demu ni mbyuti. Namfuatilia, anakaa kwenye angle namkamata....chwapp! Nikienda nae, nikishapiga bao tu, naanza kujilaumu....'why wasted my time for this horse-shit'!!!! Yaani nikilinganisha efffort niliyotumia kum-kidnap mind huyu mbyuti , na end result yenyewe......naona hamna. Does not worth it kabisa.

pili, huna msimamo
 
Shukuru mungu huyo mkeo kakutengeneza fresh. Wengine wanakutengeneza m.b.oo haisimami kabisa ukishaingia na demu chemba, yaani full kudhalilika!! Mi wangu angenifanya nikawaona mademu wote ovyo (nisitongoze kabisa) ningefurahi sana, huu utamu, oh! utumwa kuuachaga mwenyewe ni ngumu. Mi nawatamani nawatokea fresh na nikiwa naongea nae kitu kinasimama mpaka kinauma, halafu nikienda nae gesti akavua tu kitu kinalala jumla, halafu tukiachana tu kinasimama tena. Kwa hasira narudi home fasta namkamata na.to.mba nusu ya kuua halafu ndo naendelea na shughuli zangu zingine. Yaani ikitokea hivyo tu natokaga gesti na moto kiasi kwamba hata nikimkuta na rafiki zake inabidi awaage tu waondoke mi nikakamue. Halafu naonaga ni kama wameshanishtukia, watakuwa na wao wamewafanyia waume zao hivyohivyo kwa hiyo lao moja tu. Lakini kwa jinsi ninavyokamuaga ikinitokea hivyo, nadhani sasa atakuwa anafikiria kwenda kutegua hilo tego lake, ameshaanza kulalamika eti namkomoa!!
Hahahahahaaaaaa....!!
Wewe jamaa balaa! Hivi umeamua kunivunja mbavu ....au ni kweli!! Aisee...we jamaa balaa.
 
Mkuu hapo kuna ukweli maana hata mimi kuna shida naipata wakati flani.
Naweza kumtaka mdada hata kwa muda mrefu sana na siku akikubali hata kama sijavunja nae amri basi hua najuta moyoni kwanini nimemtongoza!!? Hua najiona mkosefu sana na hii imenifanya niache kutaka kutongoza kwa asilimia kubwa hata kama nikiwa single.
Very interesting. Malaika wako ana nguvu sana na anajua kazi yake.
 
Ni hali ya kawaida kwa mwanaume coz hata mimi kipindi flani ilikua inanitokea
 
Infopaedia toka lini ukaona "Lori" likachepukia service Road bana.
 
Last edited by a moderator:
Ni hali ya kawaida kwa mwanaume coz hata mimi kipindi flani ilikua inanitokea
Hawa wasiokuwa na hii hali yawezekena wanatatizo la kimfumo......i mean up stairs.
 
Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking ''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature).

Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.

Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yangu au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri au shemeji yenu kanitengeneza.

Kwa sababu kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.

haaahahhaaaaa!
umenikumbusha kitu! jamaa bro staff mwenzangu aliwah kuja mezan kwangu anahema! kuuliza wewe nini? eti mke wangu kanitengeneza!!!!

mimi eeeh kulikon!!!!?

anasema...!!!
siku ikitokea wako na mke wake kwa hata iwe asubuh wameamua kutumia gar mmoja kwenda kazin..! barabaran kunakuwa na wadada wengi wengi wazur kiac huamua kusema nikimdrop to wife narud, akirud tu eneo hilo hawapo!

sasa akawa anasema hiyo c mara moja wala mbili! eti hata nikisema leo nitoke nae tutakapoenda tunakuta vbint hatar...! siku nikisema leo naenda peke yangu sioni hata mmoja! .....!

sasa mleta mada umenikumbusha mwenzio mwingine huku ofic kwangu analia hivo...!

ila jibu sina
 
Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking ''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature).

Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.

Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yangu au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri au shemeji yenu kanitengeneza.

Kwa sababu kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.

Tafuta miwani kama unayo badilisha. Una matatizo ya macho.
 
Napita tu mkuu



Nikaiona hiyo sentensi tu.......


ukimjua mtu saana anakuboa tu kiaina....
hujawahi ona watu enzi bf na gf sababu hawaishi pamoja wanapendana sana?
wakio ana tu kuna kitu kinabadilika....i am sure ume experience hii...
 
Back
Top Bottom