Wanaume hii ikoje?

Wanaume hii ikoje?

Ushauri wangu kwako kijana mwenzangu ni kuwa unatakiwa umpende mkeo, umthamini mkeo ,umjali mkeo na umheshimu mkeo...amini kuwa ndiye mwanamke mrembo kuliko wote duniani..na ndio maana ukamchagua yeye kati ya mamilioni ya warembo na ukaamua kumuweka ndani kwa upendo uliotukuka huku ukiahidi kuwa nae katika shida na raha...mkeo ndio mwanamke pekee duniani anayejua aibu zako na karaha zako lakini kwa upendo alionao kwako ameamua kuyavumilia yote hayo na kwa kuwa aliahidi kuwa nawe mpaka kifo kiwatenganishe.....jitahidi kwa kila hali kuyashinda majaribu...

Asante sana. Nimeshaanza kuufanyia kazi ushauri wko. Ubarikiwe.
 
kwanza badilisha avatar, mwanaume avatar ya kike... jina lenyewe mtu hawezi jua ni me au ke...

Kweli mi bado mshamba hapa Jf....! Kumbe unaweza kuongea na avatar......! Na kuna avatar za kike na za kiume!!! Kweli nimechelewa.
 
Utawezaje kuuona uzuri wa mdada kwa mbali? Au unadatishwa na mavazi? Mrembo wa ukweli utamtambua baada ya kumuongelesha face 2 face!
 
siku zote watu tunapowatazama juu juu tunawaona wako hot
ukiwasogelea uta notice kitu....ambacho kinaweza kuku punguza hamu au kuua hamu kabisa

ndo maana sex na stranger au mtu humjui sana huwa taamu...

ukimjua utamuaona kawaida which is true watu wote ni kawaida

hata kina Beyonce na Alicia Keys ukipata nafasi ya kuwaona kwa karibu utashangaa unawaona wa kawaida...

ndo maana wenye wake wazuri hushangaa watu wakiwasifia wake zao au kuwahonga wake zao mamilioni na magari
wakati wenyewe wanawaona kawaida sana
 
Mahali ninapofanya kazi huwa kuna wasichana na wanawake wengi tu. Naweza nikamuona msichana wa kitengo kingine kwa mbali, namuona ni mrembo tu, na anavutia kwelikweli. And i am thinking....''i wish i could have a chance and sleep with her''(sorry girls, am not promiscuous, that is our nature). Then, inatokea siku kaja ofisini kwangu au nimeenda ofisini kwake kuna issue. Napata nafasi ya kumsogelea na tukaongea tukiwa karibukaribu. Aisee!!! hamu yote huniishia. Namuona ni mbaya, hata nikipewa bure sitaki.
Sasa najiuliza, hii hali ninayo peke yanguuu... au wenzangu pia huwa mna-experience hicho kitu? Sometimes nafikiri...au shemeji yenu kanitengeneza. Coz kwa mbali nawaona ni warembo haswaaa. Hebu nielezeni wenzangu.

Inawezekana shemeji amekutengeneza kwa maombi ili ubaki njia kuu.
 
Ni kawaida tu hasa kwa uliemzoea, unaweza sema mwamamke hana thamani kutokana na kumzowea
 
fasta tu nilivyomaliza kusoma uliyoandika nimegundua we muoga ngoja sasa nisome tena line to line nione vingine
 
siku zote watu tunapowatazama juu juu tunawaona wako hot
ukiwasogelea uta notice kitu....ambacho kinaweza kuku punguza hamu au kuua hamu kabisa

ndo maana sex na stranger au mtu humjui sana huwa taamu...

ukimjua utamuaona kawaida which is true watu wote ni kawaida

hata kina Beyonce na Alicia Keys ukipata nafasi ya kuwaona kwa karibu utashangaa unawaona wa kawaida...

ndo maana wenye wake wazuri hushangaa watu wakiwasifia wake zao au kuwahonga wake zao mamilioni na magari
wakati wenyewe wanawaona kawaida sana
Mkuu... you have nail it. Na hii ni fact ambayo wengi humu tunaikejeli.Tukijua kuzitumia vizuri facts, zitatusaidia kutatua matatizo. Hii ni fact ambayo ukiichambua na ukaweza kui-apply positively kwenye mahusiano, utafurahia mahusiano na kuwashanga wengine.... inakuwaje watu hawana successfull relationship!!! Asante sana mkuu
 
Ni kawaida tu hasa kwa uliemzoea, unaweza sema mwamamke hana thamani kutokana na kumzowea
Ni kweli kabisa mkuu. Kuna wasichana niko nao ofisi moja nawaona wa kawaida tu. Lakini kuna jamaa wa vitengo vingine wanapigana vikumbo ofisini kwetu. Wakituona nje wanatuponda....."pale ofisini kwenu hakuna wanaume, yaani mnachekeana tu na warembo". And am like whaaaat!! What so special with Halima!!
Kwahiyo ni kweli kabisa maneno yako mkuu.
NB: Halima ni jina tu nimetumia.
 
fasta tu nilivyomaliza kusoma uliyoandika nimegundua we muoga ngoja sasa nisome tena line to line nione vingine
Soma tena kwa utuo kaka, then ongezea na hii.
Kipindi kile (usiniulize lini) kuna baadhi naweza kujiridhisha ....huyu demu ni mbyuti. Namfuatilia, anakaa kwenye angle namkamata....chwapp! Nikienda nae, nikishapiga bao tu, naanza kujilaumu....'why wasted my time for this horse-shit'!!!! Yaani nikilinganisha efffort niliyotumia kum-kidnap mind huyu mbyuti , na end result yenyewe......naona hamna. Does not worth it kabisa.
 
Inawezekana shemeji amekutengeneza kwa maombi ili ubaki njia kuu.
Atakuwa kafanya la maana sana shemeji yako. Sababu hata mi mwenyewe sipendi kabisa kuchepukia njia za vumbi. Nampelekea zawadi.
 
Soma tena kwa utuo kaka, then ongezea na hii.
Kipindi kile (usiniulize lini) kuna baadhi naweza kujiridhisha ....huyu demu ni mbyuti. Namfuatilia, anakaa kwenye angle namkamata....chwapp! Nikienda nae, nikishapiga bao tu, naanza kujilaumu....'why wasted my time for this horse-shit'!!!! Yaani nikilinganisha efffort niliyotumia kum-kidnap mind huyu mbyuti , na end result yenyewe......naona hamna. Does not worth it kabisa.
Ukiona ivo ujue roho ya ufahamu na utambuzi iko hai bado na inafanya kazi

Wengine zilishakufa
 
Shukuru mungu huyo mkeo kakutengeneza fresh. Wengine wanakutengeneza m.b.oo haisimami kabisa ukishaingia na demu chemba, yaani full kudhalilika!! Mi wangu angenifanya nikawaona mademu wote ovyo (nisitongoze kabisa) ningefurahi sana, huu utamu, oh! utumwa kuuachaga mwenyewe ni ngumu. Mi nawatamani nawatokea fresh na nikiwa naongea nae kitu kinasimama mpaka kinauma, halafu nikienda nae gesti akavua tu kitu kinalala jumla, halafu tukiachana tu kinasimama tena. Kwa hasira narudi home fasta namkamata na.to.mba nusu ya kuua halafu ndo naendelea na shughuli zangu zingine. Yaani ikitokea hivyo tu natokaga gesti na moto kiasi kwamba hata nikimkuta na rafiki zake inabidi awaage tu waondoke mi nikakamue. Halafu naonaga ni kama wameshanishtukia, watakuwa na wao wamewafanyia waume zao hivyohivyo kwa hiyo lao moja tu. Lakini kwa jinsi ninavyokamuaga ikinitokea hivyo, nadhani sasa atakuwa anafikiria kwenda kutegua hilo tego lake, ameshaanza kulalamika eti namkomoa!!
 
una matatizo ya macho kapime miwani ya kuona mbali
 
naona ww kazi yako nikuangalia totoz hufanyi kazi,, ngoja nikusemelee kwa bossi wako.
 
Back
Top Bottom