Wanaume hatufaidi ndoa, tunatumika tu kama tingatinga

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,289
21,475
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? Mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuhakikisha watoto wake wanasoma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukari, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wawili tu. Ambao wameamua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wakikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?

Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1. Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kuwa adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2. Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakukaa nao nyumbani, monogamy ina maumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye.

Screenshot_20240330-101607_Lite.jpg
 
Nani ni mfaidi wa ndoa, kati ya mke, watoto na mme? mstaafu wa miaka 68 alifanya kazi maisha yake yote ili familia yake iishi katika first class life style, na kulinda hiyo 'status quo' limemgharimu karibia maisha yake yote, hassling for the wife and children, akijinyima kila kitu kuakikisha watoto wake wana soma shule nzuri za private na wapate kozi nzuri vyuoni.

Mke wake ambaye amefikisha 60yrs amechukuliwa na mtoto wake wa mwisho Amsterdam in the Netherlands, mzee anapambana na high blood pressure, na kisukali, lakini upweke kwenye bagalow lake ndo shida kubwa kuliko, mzee hakuzaa watoto wengi aliza wa wiwili tu. Ambao wame amua kuchukua na kulea mama yao na kuacha baba yao.

Hivi kwanini watoto hususani wa kiume wa kikua wana tuchukia sisi Baba wakati sisi ni factor kubwa katika mafanikio yao?
Wanatutenga na kuthamini mama zao wengine wanatamani tufe mapema wachukue urithi loh!

NB.

1.Wanaume tujiandeni kwa wakati wa kustaafu hao watoto na wake zetu hubadilika na kua adui zetu tukistaafu (nolonger productive)

2.Early birth and late birth ni muhimu Zaeni watoto wa ukubwani kwa mke mdogo ukiwa 55 to 60yrs ( ukistaafu angalau uwe na wakuka nao nyumbani, monogamy inamaumivi badaye polygamy inatatua shida zingine badaye.

View attachment 2948887
Umeenda sawa, ila mwishoni umekengeuka kidogo.

Kuzaa watoto siyo suluhisho la kitu chochote, iwe umezaa wa ukubwani au utotoni, haijalishi umezaa na mke mkubwa au mdogo.

Wewe tafuta hela wekeza.

Ukiona umeezeka ajili wafanyakazi wakuhudumie. Kama una changamoto za kiafya ajili hata nesi awe anakaa kwako.

Kuzaa watoto kisha ukategemea waje wakuhudumie ni mambo yaliyopitwa na wakati.
 
Muwamba ngoma.....hii part ya mwanaume inaelezewa mwanaume katenda memaaaa katenda memaaaa maishani mwisho kazeeka katengwa, serious????

Hii situation sometimes iko hivi, mwanaume ukiwa na nguvu zako unakua kivuruge, kivuruge kweli, kama ni mlevi mlevi mbwa kero nyingi....unavumiliwa tu, wakati unavumiliwa hata mioyoni watu wanakutoa inabaki ile basi tuuuu.....ukishazeeka sasa huna nguvu za kupiga sarakasi muda huo unataka urudishe mapenzi na upendwe huo moyo wa kupendwa haupooo inabaki tu huruma ya kibinadamu, ndo muda huu zinaibuka ngonjera za kutengwa.

Kuwa mwema wakati wote, usisubirie kipindi huna nguvu
 
Kwahiyo ndo kutoa adhabu ya kumtenga? Wanawake wanalipiza kisasi badaye tukizeeka.
 
Kwahiyo ndo kutoa adhabu ya kumtenga? Wanawake wanalipiza kisasi badaye tukizeeka.
Sijasema kama ni adhabu, soma tena uelewe.....
Mdada flani kuna siku alikua ananiambia hili jambo kwa hisia sana "eve simpendi mme wangu, moyo wangu hauna mapenzi nae tena" huyu mme nlianza nae nikiwa form 5 tu na nlivomaliza 6 akanioa nlikua nampenda mfano hakuna....bahati mbaya mie muda nampenda ye yuko bize kacheat kazaa mtoto nikaenda kufanya fujo kwa huyo dada nkamchana viwembe nikalala polisi, mme kaenda kumpa pole kampa na mimba nyingine, mambo ni mengi hapo......mwisho wa siku sasahivi ndo mme yupo bize kumpenda mke, anasali malove love ila mke hana habari

Huu ni mfano wa yanayotokeaga ambayo hayasemwi ila inakuja tu MME KATENGWA
 
.......wanaume tujitahidi kumtafuta Mungu, maisha ya mwanaume duniani ni mateso majuto, machozi jasho na damu tukihangakia familia, infact ni wajibu tena kiroho kabisa, ingawa shida ndo hiyo ailimia kubwa wanaozeeka kwa simanzi ni wale wanaojulikana kama 'good men', gentlemen, care taker, ukiamua kuwa kauzu na mtu wa bata na starehe zote za town basi hata huyo uzee wa simanzi unaweza usiuone, tuitafute Mungu tu coz maisha ya we mazuri au mabaya yanabaki kuwa mapito tu hapa duniani, so msifadhaike mioyoni mwenu......
 
Muwamba ngoma.....hii part ya mwanaume inaelezewa mwanaume katenda memaaaa katenda memaaaa maishani mwisho kazeeka katengwa, serious????

Hii situation sometimes iko hivi, mwanaume ukiwa na nguvu zako unakua kivuruge, kivuruge kweli, kama ni mlevi mlevi mbwa kero nyingi....unavumiliwa tu, wakati unavumiliwa hata mioyoni watu wanakutoa inabaki ile basi tuuuu.....ukishazeeka sasa huna nguvu za kupiga sarakasi muda huo unataka urudishe mapenzi na upendwe huo moyo wa kupendwa haupooo inabaki tu huruma ya kibinadamu, ndo muda huu zinaibuka ngonjera za kutengwa.

Kuwa mwema wakati wote, usisubirie kipindi huna nguvu
Nimeipenda hii
 
Sijasema kama ni adhabu, soma tena uelewe.....
Mdada flani kuna siku alikua ananiambia hili jambo kwa hisia sana "eve simpendi mme wangu, moyo wangu hauna mapenzi nae tena" huyu mme nlianza nae nikiwa form 5 tu na nlivomaliza 6 akanioa nlikua nampenda mfano hakuna....bahati mbaya mie muda nampenda ye yuko bize kacheat kazaa mtoto nikaenda kufanya fujo kwa huyo dada nkamchana viwembe nikalala polisi, mme kaenda kumpa pole kampa na mimba nyingine, mambo ni mengi hapo......mwisho wa siku sasahivi ndo mme yupo bize kumpenda mke, anasali malove love ila mke hana habari

Huu ni mfano wa yanayotokeaga ambayo hayasemwi ila inakuja tu MME KATENGWA
Kwa mazuri yote anae kufanyia huwezi kumsamahe huyu mwana ume unajua, sisi wanaume tunasamehe sanaa hatujui kueleza makosa ya wake zetu tunameza tu, ila wanawake wanavituko nyumbani sema tuna waacha tu
 
Back
Top Bottom