Wanaume eti hii ni kawaida?

Wanaume eti hii ni kawaida?

Wakuu...
Hii mambo ya wet dream kuota mfululilizo siku mbili ni kawaida?

Tena ni wakati wa mchana, ukijilaza kidogo tu hata saa 1 tayari...

Kabla ya hapohapo ilikuwa ni maramoja moja tu...
Wanaume hii ni kawaida au jini mahaba yuko kwenye 1 na 2...?
TUBU
 
Nashangaa mtumishi unatembelewa na majini mahaba...!!!

Umetoka kwenye jasho sahivi uko kwenye ndoto....

Muda wa kuoa....fanya taratibu upate shemej
Duh... mkuu! hiyo ya shemej ni last opinion kwangu labda njia nyingine!
 
Mi nshawahi kuota nimeenda kwa jirani yangu single Maza nikamkuta yupo na mabesti zake kama kumi yaani kama walikuwa wapo kwenye kikoba Fulani, huyo single Maza akasaula mbele ya wenzake mi nikamshika nkampelekea moto hapo hapo, baada ya kumchoka nikamnyanyua best ake mwingine peleka moto,
Yaani ndo ikawa ni mwendo wa kushika best yake yoyote nainamisha nikimchoka nachukua mwengine na tunafanyia hapo hapo sebuleni wengine wanaangalia.

Na hii si mara Moja wala mbili tangu kitambo hizi ndoto zinaniijia, tofauti mazingira tu sometimes mpaka naota nimeenda shop kununua vitu nakuta mademu kibao nikianzisha na mmoja mwendo ndo uleule na watu wengine wapo ila ni kama hawatuoni yaani hawana habari.

Mind you, hizo ndoto sio kwamba nakuwa na upwiru, unakuta Jana nilikuwa na manzi yangu ila kesho tu hiyo ndoto inanijia.

Hii nayo Nini hii najiulizaga mpaka Kuna muda naamuua tu na leo wakija nawalomba tu ndotoni.
 
Excessive exercices lower sex drive. Mbona kuna artuckes na site nyingi zinazungumzia hiki

Sasa mkuu kama zoezi linapunguza sex drive, si majanga Sasa, siku akitaka kuwa na mwanamke atapandishaje hiyo sex drive
Maana sex drive sio hamu au nyege, sex drive ni uwezo wako wakummudu mwanamke kitandani, ukiupunguza kuupandisha sio kazi ndogo
 
Mi nshawahi kuota nimeenda kwa jirani yangu single Maza nikamkuta yupo na mabesti zake kama kumi yaani kama walikuwa wapo kwenye kikoba Fulani, huyo single Maza akasaula mbele ya wenzake mi nikamshika nkampelekea moto hapo hapo, baada ya kumchoka nikamnyanyua best ake mwingine peleka moto,
Yaani ndo ikawa ni mwendo wa kushika best yake yoyote nainamisha nikimchoka nachukua mwengine na tunafanyia hapo hapo sebuleni wengine wanaangalia.

Na hii si mara Moja wala mbili tangu kitambo hizi ndoto zinaniijia, tofauti mazingira tu sometimes mpaka naota nimeenda shop kununua vitu nakuta mademu kibao nikianzisha na mmoja mwendo ndo uleule na watu wengine wapo ila ni kama hawatuoni yaani hawana habari.

Mind you, hizo ndoto sio kwamba nakuwa na upwiru, unakuta Jana nilikuwa na manzi yangu ila kesho tu hiyo ndoto inanijia.

Hii nayo Nini hii najiulizaga mpaka Kuna muda naamuua tu mba tu ndotoni.
Mh wewe wet dream zako zilikuwa Smart
 
Sasa mateso yote hayo yakazi gani?
Si bora atafute tu mke awe anaichakata ile yenyewe kabisa?

Au nakosea ndugu wananchi?
Na ndio la mwanzo kumwambia, oa
Km muda bado hauruhusu ndio aende kwenye hizo other alternatives
Lengo ni kuwa kajizuia na maasi, so aendelee kujizuia mpk uwezo wa kuoa utaporuhusu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom