Duh asante mkuu noted!Tangu nilipooa mwaka 47, ndiyo ilikuwa mwisho wa kuota hizo ndoto nyevu
Kawaida zinatokea ikiwa imepita kipindi kirefu bila kukutana na mwenza wako (mkeo)
Nashauri kama unaweza kumudu majukumu ya kindoa, vyema uoe. Itakusaidia kupata utulivu wa mwili na nafasi
Kumbuka Uzinzi sio mzuri though
Kila la heri Mkuu, Mungu akukumbuke na akutimizie hitaji lakoDuh asante mkuu noted!
Analeta zile zako, ukishikwa mara ujiwekee feni mara udumbukie kwenye maji....Wewe ukishikwa unafanya mazoezi? 😹
Sa hapo unafanyaje? Au unapiga maombi? Mixa kusifu na kuabudu?Hazina cha ulokole mkuu kikubwa nikujua namna ya kujizuia kabla haziajaanza kukutawala...
Si ndo hapo sasa, badala achukue guitar anachukua feniHahahhhh sasa hapo feni inatoa msaada gani
🙏🙏🙏Amina be blessed mkuu!!!
Mtumishi umejuaje hii? Kumbe nawe upo vizuri kwenye dhambiBola hata guitar inaweza kusaidia ila hapo kweni feni, kwanza tu ikipulizwa ndio kama zinapanda
Duh... ushauri mbaya hivi, hamtutaki mema.Miaka nabalehe tulikua tunashauriwa sana tuepuke kua na wanawake wengi tunapewa na mifano ya watu waliozingua kimaisha kisa mambo ya wanawake Ila madogo wa saivi tunawashauri wawe na mademu na wanyandue.
Wakuu...
Hii mambo ya wet dream kuota mfululilizo siku mbili ni kawaida?
Tena ni wakati wa mchana, ukijilaza kidogo tu hata saa 1 tayari...
Kabla ya hapohapo ilikuwa ni maramoja moja tu...
Wanaume hii ni kawaida au jini ma