Wanaume eti hii ni kawaida?

Wanaume eti hii ni kawaida?

Wakuu...
Hii mambo ya wet dream kuota mfululilizo siku mbili ni kawaida?

Tena ni wakati wa mchana, ukijilaza kidogo tu hata saa 1 tayari...

Kabla ya hapohapo ilikuwa ni maramoja moja tu...
Wanaume hii ni kawaida au jini mahaba yuko kwenye 1 na 2...?
Afya yako ipo sawa kijana huna tatizo, hebu tafuta kabinti ka kupunguza tenki aisee huchoki kufua?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom