Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,414
- 56,090
Miaka nabalehe tulikua tunashauriwa sana tuepuke kua na wanawake wengi tunapewa na mifano ya watu waliozingua kimaisha kisa mambo ya wanawake Ila madogo wa saivi tunawashauri wawe na mademu na wanyandue.Hakuna namna 😂