Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Not men only myself naweza jipa raha
aisee! Kipindi nasoma darasa la 5 nakumbuka nilikuwa nachukia sana mathematics nilijua ni somo gumu na halieleweki lakn kumbe halikuwa somo gumu ila nilikosa mwali mzuri. Nilipofika darasa la 6 nikaanza kulipenda sana hilo somo kulingana na mwalimu niliyemkuta alikuwa anafundisha vzr sana.
Hata ww unalalamika hvyo bila shaka hujampata mtu sahihi ambaye atakusikiliza na kukujali na kuheshimu maamuzi na mawazo pamoja na hisia zako.
Ulipenda ila hukupendwa........ Kaa chini mwombe Mungu umpate mtu anayekupenda. Utapenda sana ndoa