miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #221
halafu wewe ndiyo umeuchimbua wahiiimmmmm sijui nimefikaje kune huu uzi
halafu wewe ndiyo umeuchimbua wahiiimmmmm sijui nimefikaje kune huu uzi
embu kwenda huko miaka hiyo siku hizi we kitu ingine ha ahhahaha shiiiiiiiiiiiiKiranga chako yote haya usingekuwa unayapata mimi napita!!
asante mkuuMimi sipo hivyo, karibu.
😛😛😛😛😛embu kwenda huko miaka hiyo siku hizi we kitu ingine ha ahhahaha shiiiiiiiiiiii
Aahaa kumbe ya 2014. Basi hii fursa ishanipitanakupenda pia mkuu hii thread nani kaifokonyoa huko loh.
mda mrefu sana nikiwa bado badoAahaa kumbe ya 2014. Basi hii fursa ishanipita
Yes hapo uko sawa kabisaGood job well done son!!!!!
Kama haelewi baaaas tena
unakuja??asante mkuu
nakuja mkuuunakuja??
unapafahamu?nakuja mkuu
ndiyo geti la tatuunapafahamu?
Umeua!!!!!!!Uwe na mvuto kimapenzi. Yaani ujiweke vizuri.
Kwa mfano, ukiwa umejaaliwa ile chakula ya mtoto, si mbaya mara moja moja kuonyesha ubunifu. Onyesha ule mgawanyo (cleavage), nifanyie shimmy, vaa sketi zenye slit....
Ukivaa viatu vya kokoko basi badili mwendo...tembea kaa Naomi Campbell kwenye catwalk
Kuwa msafi, nukia vizuri, floss meno, kuwa na meno meupe, paka viondoa harufu (deodorant) - kama antiperspirant zinakupa shida basi uwe unaweka armpit pads kuzuia jasho kuvuja kwenye kitop chako...
In a nutshell, be a lady in the street but a freak in the sheets.
Lazima kuna sehemu una miss tu wanaume tuna real love kama ni hivyo basi jamaa hakupendi ana force kukupenda in reality hayuko hivyohayo yote yanafanywa lakini bado naonekana sipo hot..
sawa mkuuLazima kuna sehemu una miss tu wanaume tuna real love kama ni hivyo basi jamaa hakupendi ana force kukupenda in reality hayuko hivyo
sifa kuu zetu wanaume kama humpendi mtu ukionja tu mara moja Tayari thamani yake ushaishusha na hapo ndipo weakness tunaanza kuziona kiukaribu
katika hilo JICHUNGUZE NANI ALIMUANZA MWENZIE HUENDA WEWE ULIMTONGOZA HANA MAPENZI NAWE
nijuavyo kwetu sisi wanaume ukipenda hata uende ukadate na wanawake 100 bado utarudi tu kwa umpendae na kujiona msaliti
2014Heee kweli sio mpenz wangu wewe?
Na issue na wewe njoo kwa stream ya juzi plsndiyo geti la tatu