Wanaume embu nisaidini hili

Huyo mtu wako ana matatizo ya Kiakili yanayosababishwa na kuwa na dushe ndogo, na ninavyoona he is somehow handsome, kama nimekosea nikosoe hapa hapa!

he have good outlook lakini not that handsome mmh ... ila tembea vizuri huyo
 
Nikiona picha yako na ya Mpz wako, ninao uwezo wa kuyajibu maswali yako yote kwa ufasaha kwa sababu inaelekea yanasababishwa na peronality ya Mwenzio!

okey mkuu ila huyu kaka si kiivyo wa kawaida sana sema yupo smart sana
 
Nimeyasoma hayo maswali lakini nadhani ulipaswa uwaulize wavulana na sio wanaume...
 
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Hii inakuhusu Miss Chaga. Unakumbuka ulivyotuita Mbwa siku za nyuma? Acha kuangaika na Mbwa, tafuta Mbuzi, akikuudhi unamchinja unamla mchuzi. Usipotuomba msamaha unalo.
 
Pole sana, mimi nikiona mwanamke ananyanyasika for love huwa napata tabu sana kujua mwanaume anamfikiriaje mwanamke huyu mpk amfanyie hv, just give her black and white ili kama kuna kumalizana mmalizane!
 
okey mkuu ila huyu kaka si kiivyo wa kawaida sana sema yupo smart sana

Huyo anajiona ni zawadi kwako kwa hiyo hana haja ya kugharimikia uhusiano wenu.
Kingine ni kuwa ana tatizo la kutojiamini kuwa hakuridhishi kutokana na udogo wa mashine yake na anahisi unatafuta penzi nje!
Kama ni mfupi kwa kimo kuliko wewe, ni jambo linalomsumbua akilini na inamfanya asiwe na confidence na wivu kwa kuwa anadhani unamuona yuko inadequate!
 
mmmmh! ngoja niwe msomaji, ila mwanaume hatakiwi kunyenyekewa sana. nimemaliza.
 
mbona yuko vizuri any way siwezi jua kinachomnyima comfidence kwa kweli?
 
Pole sana, mimi nikiona mwanamke ananyanyasika for love huwa napata tabu sana kujua mwanaume anamfikiriaje mwanamke huyu mpk amfanyie hv, just give her black and white ili kama kuna kumalizana mmalizane!
nishamaliza sema najitahidi kuomba msamaha lakini hataki kabisa wakati sina hata kosa.. ila yote ni maisha
 
Usitukane wakunga na uzazi ungalipo. Hii inakuhusu Miss Chaga. Unakumbuka ulivyotuita Mbwa siku za nyuma? Acha kuangaika na Mbwa, tafuta Mbuzi, akikuudhi unamchinja unamla mchuzi. Usipotuomba msamaha unalo.

huu ni mwaka wanne so nilitukana akiwepo .. asante mkuu unakumbu kumbu ... ila bad enough nazidi kuwaita majina mabaya kutokana na hili
 
 
yani akianza mapicha picha
ujue kashakuchoka tu coz
y aanze kudai u-hot leo,kipindi
cha nyuma hakujua kuna u-hot?ebooo!!

Sorry I have to say this...Tatizo wanawake wengi wakishapata mchumba au mume ndio kujijali kwao basi tena. Yani unaamkuta mwanamke hata mafuta ya kunukia kidogo hapaki,kimnunulia gari mpe wiki tatu tuu hulipandi huko ndani kama vile kulikua na vita ja Maji Maji, Siku hizi eti wameanza mchezo wa kuvaa vitu vya kiume...eg Saa, Tshrt zetu, Boxers, Shorts zetu....jamani this is not Sexy....tunataka wasichna..ukivyaa Tsht yangu mimi nakuona kama Mdogo wangu wa kuime tuu!

Tuoneeni huruma jamani. Unakuta meamka asubuhi uko bafuni unaoga na kupiga zako Mswaki demu anaingia bafuni anakaa kwenye toilet seat na kuanza Kunya wakati wewe uko hapo...Kha jamani dada zetu msijisahau kiivyo. We still want you to look the same or Better from the day we met you!
 
Tip yangu hii: for the next relationship chagua anayekupenda sana wakati wewe unamuona wa kawaida tu hata humpaparikii, over time utaniambia mwenyewe utakavyo-enjoy upendo wake

Wewe uko tayari kumpenda mtu wakati yeye anakuona wa kawaida tu? Unapotoa ushauri use all ur senses. Hakuna mtu atakayepoteza muda wake kupenda sana huku anayependwa not paying right attention! Labda zuzu. By the way wakati unamwona akupendaye wa kawaida sana utakuwa unampenda nani wakati huo? Lazima kuwe na substitute.
 

okey nimekuelewa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…