Wanaume ebu semeni hisia zenu ktk hili

Ulikuwa na girlfriend, mmedumu nae kwa miaka 4, mkaachana. Mlikuwa na marafiki wengi tu, wake kwa waume, uliowatambulisha kwake na waliotambulishwa kwako. Baada ya kuachana, msichana anakutana na rafiki yako mmoja, alikuwa hajui kama mlishaachana, na baada ya maongezi anagundua hilo. Wakapeana namba za simu na kwa bahati ofisi zao ziko jengo moja. Lunch wanaenda wote sometimes, na hata mitoko ya weekend wanaweza kuwa wote (huyo mwananume ana mchumba na sometimes wanakuwa wote watatu). Siku moja mdogo wako anawakuta restaurant wanapata lunch, anakupa izo taarifa, je utajisikiaje?

kimeumana!
 
Ikiwa ni yeye amenikuta au amesikia story pia kwamba nimekutwa napata lunch na rafikie yeye atajisikiaje? Tulishaachana, we turned new pages..... life should be moving! That's the reality!
 
Its strange eti kwa vile tumeachana basi hata waliokuwa friends nao tuvunje urafiki? Mwanaume wa aina hii ni dhaifu kama nanihii
 
Ulikuwa na girlfriend, mmedumu nae kwa miaka 4, mkaachana. Mlikuwa na marafiki wengi tu, wake kwa waume, uliowatambulisha kwake na waliotambulishwa kwako. Baada ya kuachana, msichana anakutana na rafiki yako mmoja, alikuwa hajui kama mlishaachana, na baada ya maongezi anagundua hilo. Wakapeana namba za simu na kwa bahati ofisi zao ziko jengo moja. Lunch wanaenda wote sometimes, na hata mitoko ya weekend wanaweza kuwa wote (huyo mwananume ana mchumba na sometimes wanakuwa wote watatu). Siku moja mdogo wako anawakuta restaurant wanapata lunch, anakupa izo taarifa, je utajisikiaje?

Umesema mmeachana right?
 
Kwani X inamaanisha nn

Lazima tuulize mara mbili mbili, maana wanaume tunaelewa ukishaachana na mtu una move on, unamuachia aishi maisha yake, achague kuwa na anayemtaka.

Sasa wewe inaonekana katika scenario yako, mtu "anafikiri" kwamba wameachana wakati bado ana kijiba cha roho, kisebusebu na kiroho papu.

Move on dude.
 
Nitajua wote wawili wana njaa ndo maana wamekwenda kula and no more. Kama umeachana naye kuna haja gani ya kumfuatilia life lake??
 
Ni wengi watasema ni kawaida lakini najua ni wachache wana maanisha.
Kwangu mimi hicho kitendo kisinge ni furahisha kabisa hasa ukizingatia alikuwa ana jua, siyo wivu ila nitamchukulia kuwa yeye alifurahishwa na kuachana kwetu.

Hapa nimezingatia kuwa watu mmedumu kwa miaka minne basi hapa kutakuwa na chembe ya upendo hivyo kuachana nae alaf kudate na rafiki yangu lazima ni jua ulikuwa mpango.

Mimi mwenyewe siwezi kufanya kitendo hiko.
 
Ulikuwa na girlfriend, mmedumu nae kwa miaka 4, mkaachana. Mlikuwa na marafiki wengi tu, wake kwa waume, uliowatambulisha kwake na waliotambulishwa kwako. Baada ya kuachana, msichana anakutana na rafiki yako mmoja, alikuwa hajui kama mlishaachana, na baada ya maongezi anagundua hilo. Wakapeana namba za simu na kwa bahati ofisi zao ziko jengo moja. Lunch wanaenda wote sometimes, na hata mitoko ya weekend wanaweza kuwa wote (huyo mwananume ana mchumba na sometimes wanakuwa wote watatu). Siku moja mdogo wako anawakuta restaurant wanapata lunch, anakupa izo taarifa, je utajisikiaje?

dude, si ulimwacha au ulikuwa unatania? sa unataka akae single forever?
 
Back
Top Bottom