Wanaume bana, wanapeeenda kuchungulia

Nina miaka kumi najiuliza swali hilo juu ya nywele
Leo hii ukimuona mwanmke ananywele asili utafikiri kashushwa toka mbinguni
Kumbe nawe ulishaliona hilo. Tatizo hawa wenzetu wa ile jinsia hawajui nini hasa wanafanya. Na ndio maana wale wanaoufahamu ukweli hauwezi mkuta na laana hizo.
Wasiosoma ni chakula cha wasomi.
 
385800_266774423364303_165943399_n.jpg
 
Hakuna sera madhubuti mpaka sasa. Unakuta hawa watoto wa namna hii wanalelewa na mzazi mmoja mwingine hasa baba amesepa na hakuna sheria ya kumbana. Kutokana na ongezeko kubwa la watoto wa mitaani natoa maoni yangu katika mjadala huu wa katiba "Kuanzia sasa jukumu la kuwatunza watoto katika familia ni la baba na mama" kama huwezi kutunza watoto basi sio lazima kutiana mimba na kuzaa watoto halafu kuwaacha mabarabarani wakiishi katika taabu na hatimaye kukosa muelekeo yaani kuwa wezi,malaya na wauza unga.Kuwe na sheria na dhabu ,tumechoshwa kuwasikitikia watoto wa mitaani
 
Yani hata ingekua kwa kulipia sawa tu, u cant go against nature bana...
 
Back
Top Bottom