Wanaume bana, wanapeeenda kuchungulia

Wanaume bana, wanapeeenda kuchungulia

This is India once again

child-labor-india88_26.jpg
 
Child labor, a photo from Maharashtra, West | TrekEarth


child-labour-.jpg
 
Wahindi noma kwa child labour, mpaka utalia. TZ nayo naona speed kali inakuja.
 
hii dunia haina haki kabisa mungu umejificha wapi baba?malaika wako wanateketea huku?tukisema kikwete na ccm yake ni mbaya wapo watu hutokwa na mishipa ya shingo.dunia inaelekea kuwa mbaya kuizidi jehanam.
 
Ubinafsi unatumaliza. Twayaona haya na tunafumba macho.

Lkn kwenye hizo picha si wote wanafanyishwa kwa ujira, yapo mazingira mtoto inapaswa ashirikishwe ili asiwe na tabia kama za zomba na MAFILILI ukubwani (za kutegemea kuishi kwa ASANTE NAPE)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom