Wanaume amkeni acheni kulalama

Wanaume amkeni acheni kulalama

Hahahahahahahahaha!!!!!! sie hatuna viboy tuna wanaume wanaojua majukumu yao

then whats the blame for.!!
Kama mnao kelele daily hapa zinatoka wapi?

Mtu akitoka pumuliwa huko asipopewa hela, fasta anakuja na li uzi.'WANAUME HAMNA HELA' MABOYA, WANALIALIA.,'

PUNK.
 
Haya haya naona mnaendelea kuraruana tu, mie nafurahia tu hapa. Mara gegedo mara papuchi!!!! Kiboksi manyoya mara mpingo!!! Duh haya twende kazi

Ila siku mkifahamiana nadhani utatamani usikumbuke ulichokipost, Asnam mpenzi njoo huku basi
 
Last edited by a moderator:
ni kweli mine... mtu wa kulalama hana solution

Wanaume wanaujua ukweli roho mbaya tu na uchoyo kushindwa kutimiza wajibu wao sasa wanafikiri kichwa cha familia ni kile kidogo kwenye suruali kinachowapa jeuri wasitambue majukumu yao kuwa ni zaid ya hiko.......

Afu wanajeuri sana akishajua yeye ndio anaprovide kila kitu dharau haziishi sasa ni pale anapokutana na mwanamke anapesa zake hapo lazima anywee kama kuku kaloanishwa hawa fimbo yao ni pesa tu lazima wakuheshimu
 
Dah!!! Salaale! Mmeamua wandugu!
Kulikoni?! But si wote, wengi wetu tunajali, tunacare!
 
shocked-smiley-emoticon.gif
 
Watu mko moto ni balaa btw swali langu kwa mleta mada vipi kuhusu wanaume wanaohudumia familia zao kiuchumi effectively na bado wanakesha baa na michepuko juu je,wako responsible?
 
Hao wapo sawa kabisa nawaunga mkono
 
Wanaume wanaujua ukweli roho mbaya tu na uchoyo kushindwa kutimiza wajibu wao sasa wanafikiri kichwa cha familia ni kile kidogo kwenye suruali kinachowapa jeuri wasitambue majukumu yao kuwa ni zaid ya hiko.......

Afu wanajeuri sana akishajua yeye ndio anaprovide kila kitu dharau haziishi sasa ni pale anapokutana na mwanamke anapesa zake hapo lazima anywee kama kuku kaloanishwa hawa fimbo yao ni pesa tu lazima wakuheshimu

Heshima muhimu hawawezi wakalale nje
 
Haya haya naona mnaendelea kuraruana tu, mie nafurahia tu hapa. Mara gegedo mara papuchi!!!! Kiboksi manyoya mara mpingo!!! Duh haya twende kazi

Ila siku mkifahamiana nadhani utatamani usikumbuke ulichokipost, Asnam mpenzi njoo huku basi

Kwa nini mkuu lazima tuweke mambo sawa
 
Last edited by a moderator:
mmezidi sana kutuchamba

ameanza huyo na nafuata pia next week makombora kwa kwenda mbele maaana mnalalama sana na mnasahau majukumu yenu
hahhahaha duh hivi vita sijui mwisho wake nini? maana kila siku ni thread za makombora toka kila upande, naona leo akina mama/dada nao wameamua kujibu mashambulizi! Yangu macho tu
 
then whats the blame for.!!
Kama mnao kelele daily hapa zinatoka wapi?

Mtu akitoka pumuliwa huko asipopewa hela, fasta anakuja na li uzi.'WANAUME HAMNA HELA' MABOYA, WANALIALIA.,'

PUNK.

Ha ha ha ha ha
 
sijui nikujibu au nimwachie huyo huyo mwenyewe akujibu
ila nina hamu ya kukujibu miss chagga unaniruhusu nimjibu huyu
Watu mko moto ni balaa btw swali langu kwa mleta mada vipi kuhusu wanaume wanaohudumia familia zao kiuchumi effectively na bado wanakesha baa na michepuko juu je,wako responsible?
 
Last edited by a moderator:
Nyie hamna maana hata kidogo,tunajitahidi kuwahudumia kadri tuwezavyo ili muwe watulivu lakini hamridhiki hata kidogo,tamaa zimewajaa mpaka hamzipi thamani tena papuchi zenu kwakuziachia kwa kila anaetangaza dau huku mkisahau kuwa hizo ndizo zinazowapa thamani!

Binafsi sintoweza kugaramia kitu kisichokuwa na thamani!

Halooo huyo anayegawa papuchi hovyo ujamshika sawa sawa.
 
miss chagga we unafikiri kwa nini ukikutana na mwanume swali la kwanza lazma liwe 'UNAFANYA KAZI WAPI?' Jibu ni kwamba anataka aone ni kwa namna gani utamsaidia hayo majukumu yake. Hichi kizazi cha sasa ni tatizo sana.
Ee Mola utuokoe na hili janga.

Ukiniuliza hilo swali naanza kupunguza grade.... uvivu wanaangalia pakulia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom