tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
ujumbe umewafikia walengwa naona wanatapa tapa tu
Awe msaada kwako kwa sababu zipi?
Nani kampa jukumu la kukuhudumia?
Yani mtu aache kujitengenezea future yake, ahudumie mtu ambaye hajui anachohitaji katika maisha?
Concubines willl remain concubines..!
The point is, hana jukumu na wewe, umejirahisi kwake and that's why he treats you that way. mzabzab kasema juu hapo, hajakukuta bikra, so chances are atakuacha utaendelea na wengine, so what's the point kupoteza rasilimali zake kwa mtu wa kupita?
- wanaume kutokujielewa na kusahahu majukumu yao.
- upendo
- hali ya uchumi.
mwanaume anayejielewa he can stand by him self..... lakini si unakikazi cha laki 3 kinyumba cha room tatu na bahati kigari umerelax unashinda bar alafu hapo hapo unategemea hela ya mwanamke.....
Eli79 kuna mda muwe realistic, kuja kwako ni makubaliano ya wote wawili kutoroka ni kati ya mambo amabyo tunafanya kwa upendo ....hatuhitaji nusu ya mishahara yenu tunahitaji kuona huduma na maendeleo nipo na wewe nagain nini ? kiukweli kama ni mzigo aisee no no no..... mnasaidiwa huko njeKama haya ndio mdada anayafanya, hamna sababu ya kumhudumia. Ajihudumie mwenyewe.
Acheni kulalama wadada, huwezi kuhudumiwa huku umeamua kuwa na mahusiano yasiyo rasmi.
Acheni vijana watafute pesa, wawekeze na kujijenga.
Sio umetoroka home, unakuja ukitegemea uondoke na nusu ya mshahara wa mtu..!
Ni kweli dada yangu, utakuta mwanaume anajigambaa kuwa mkewe anampenda sana na deep inside anajua fika hakuna afanyalo kudeserve tht kind of treatment, shtuka jombaa kuna linjemba liko nyuma ya pazia..
[/QUOTE]The end you r disgusting.......na inaelekea message Hi ilikuwa yako moja kwa moja mic chagga kakushtukia......you r a devil himself
QUOTE=The End..;10707203]atakaye like huu uzi nitamshangaa sana!!! yaani huyu miss chagga haelewi kabisa:
1.papuchi siyo dili siku hizi zinapugua ladha siku hadi siku!
2.unapotoroka kwenu kuja kwangu wewe ndo ----- siyo mimi...
3.kuzaa kwa uchungu siku hizi hatutaki watoto wanakuwa mapanya road tu!
4.nakushangaa kipindi sijakutongoza ulikuwa unaishi vizuri kwenu na unahudumiwa kila kitu nilivyokutongoza mimi basi shida zote unanishushia mimi kisa nakutia tu!!! acheni hizo mtu anapokuhudumia shukuru ilibidi akuhudumie akikuoa!!!
5.kwa mlioolewa poleni sana yaani ukweli huwa tunakinai na papuchi aina moja ndo maana mtu anashinda bar coz haoni tena ladha imetanuka sana mpaka uingize gegedo na mkono mmoja sasa ya nini yote hayo!!!
Moja ya kosa kubwa sana kwa mwanaume yoyote anayejitambua ni kuto simamia financial issues za mkewe kisa eti anafanya kazi. Lazima nihusike katika plans na kutoa maamuzi, since she is in my empire; i will never let her build the empire of her own within my empire.
Mengineyo umenena miss...
Duh! Kumbe mi bado sana. Yaani nilikuwa najiona nimeshatoka kumbe naonekana ----!
Nje ya box - Weusi
Sio kupanic wewe acha kuzarau papuchi njia iliyo kuleta duniani wewe hahahaha, leo hii waitukana na bado wapenda kurudi huko huko ulipo pitia
O
Sijui kwa nini povu linakutoka sana na unakurupuka,calm down boy hii ni hoja tunachangia!
ujumbe umewafikia walengwa naona wanatapa tapa tu
Hilo nalo neno.... Nikiwa kama mwanaume hujisikia fakhari pale ninapomhudumia mpenzi wangu wa ukweli.... note keyword WA UKWELI.
Huwa ni faraja kubwa kwangu iwapo kuanzia pichu hadi makeup na kila kitu ikiwa imetoka mfukoni mwangu....
Tatizo linakuja wa kwamba sisi wajibu wetu tuhudumie nje... ninyio muhudumie ndani... MNASHINDWA!!!
Unarudi kubeba mizigo usiku mgongo ukiuma.... unaingia ndani unaambiwa chakula kipo jikoni kajipakulie... au unakuta nyumba usafi haueleweki... Na huyu hachelewi kukwambia mimi nimepika wewe uoshe vyombo... HAPA NDIO MNAPOHARIBU
Babu zetu walikuwa wanahudumia asilimia mia tano... ila na wao wakiingia wanahudumiwa... aisee mizigo yote bwana akiingia inapokewa... wale jamaa zangu wa mwambao wanapokea hadi nanihino zako.. zinawekwa kwenye kisahani kidogo (kisosa) chenye mafuta... unafikiri hapo janadume lisihudumie? Akiingia chooni bwana anaogeshwa kwa maji ya asumini huku akisuguliwa mgongo na akiimbiwa mashairi... Hapo huduma zitatoka tuu.. wakati wa kula nako... bibi anakaa hapo mbele yako, hakuambiii niachie niangalie marichuy yangu au secreto de amor... dume linakula huku akipepewa na vile vijikawa/vipepeo vya duara jina lake sivijuwi....
Yaani hii huduma yapaswa iwe ya pande mbili... Msitake kuingia mifukoni tu bila huo mfuko kuukanda kanda...
Tunafahamu kazi za ulezi ni nzito sanna.... tunawathamini kwa mchango wenu wa kutuzalia wana.... ila na sisi mtuthamini for paying the bills and putting food on the table... hapo ndio morali ya kujituma tunapoipata zaidi...
Masalaam.
tumegusa penyewe :A S wink:
ujumbe umewafikia walengwa naona wanatapa tapa tu