Harsh generalization, angalau umesema baadhi yao. Wengine hatuonji kilauri na hao wanawake tunawatizama tu.Some wasabato wanahusika hapa,hawanywi pombe lkn nyapu wanaipenda balaa
Nani kakudanganya? mimi sinywi lakini nakaa na walevi hadi usiku wa manane! ila nakumbuka kuna ex wangu mmoja ashaniambia ana wish ningekuwa nakunywa maanake hapumui!Mwanaume asiekunywa nae anakero zake... kila siku sa kumi na mbili usharudi nyumbani, tunaanza kugombea remote kwenye isidingo...
Mwanaume japo uonje kidogo, sa nyingine unachelewa kurud...
mnywaji anakuwa na confidence ya kuongea anayoshindwa akiwa kawaida... so siku akinywa utaambiwa madhaifu yako ujirekebshe kuriko ambao sio wanywaji wakakaa nayo rohon
aiseeee!Harsh generalization, angalau umesema baadhi yao. Wengine hatuonji kilauri na hao wanawake tunawatizama tu.
haishindi papuchi weweeePombe tamu jamani tuache mambo mengine...
kupenda ngono au kutokupenda ngono ni hulka ya mtu mwenyewe ambayo inaendana na maumbile kuna mtu hanywi kabisa pombe lakini hapendelei sana mademu na pia kuna mnywaji wa pombe anakunywa kwa starehe tu hachukui mademu kwa ufupi ni tabia na hulka ya mtu basi ila ukiendekeza hata kama wewe ni mlokole utaingia tu kwenye kupenda au kulala na wasichana wa kila aina.ukweli upi?
I know bro! Boring huh?!!!aiseeee!
...kata kilevi ujinga ukutoke!..,ujifunze kujenga hoja.,unaposema "mbona hata" umeelewa ulichomaanisha?..unajitekenya afu wacheka mwenyewe ka zoba!
...mengine yote uloandika juu ya wanywa pombe ni shudu tu kama shudu nyingine!
..kawape ng'ombe!
AgayaaaaWalevi wa pombe wanamsemo wao ambao me naujua kwa kisukuma tu."warwa,nyama na nyooo....!!" Tafsiri yake kwa kiswahili imenitoka!
Mwanaume asiekunywa nae anakero zake... kila siku sa kumi na mbili usharudi nyumbani, tunaanza kugombea remote kwenye isidingo...
Mwanaume japo uonje kidogo, sa nyingine unachelewa kurud...
mnywaji anakuwa na confidence ya kuongea anayoshindwa akiwa kawaida... so siku akinywa utaambiwa madhaifu yako ujirekebshe kuriko ambao sio wanywaji wakakaa nayo rohon
kuna jirani angu mmoja hanywi pombe yule baba ni CHAUMBEA HATARIhhhaa unawasingiziaa