Wanaume ambao hawatumii pombe

Wanaume ambao hawatumii pombe

My hubby

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
451
Reaction score
413
Habari zenu,

Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?

Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa hawawezi kuacha?

Hua nasikia Sana oooh ambao hawanywi pombe wanapenda Sana wanawake,mbona hata wanaokunywa pombe wanapenda wanawake Sana Tu,tena wengine mkilewa huchukua ma barmaid,wengine hujutia asubuhi akili ikimrudi kukuta kalala na kichaa ,
Yaan pombe huwafanya mfanye mambo ambayo mkiwa hamjanywa hamuwezi fanya.

Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa!!!

Upande wangu naona bora ambae hanywi kwa kweli,hata kwenye mapenzi hategemei konyagi ndio apate mzuka,wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka ,yaan akilewa ndio mfanye mapenzi kwa hiyo pombe ndio inamsisimua na sio mwili wa mwanamke,mlio na waume/au wapenzi wanaokunywa hebu jaribuni wafanye mapenzi wakiwa hawajanywa pombe muone
msiwasakame ambao hawanywi jamani
 
Sema nn pombe inakuwa sio kama ukizidisha kipimo
Ingawaje kipimo sahihi SIKijui ila kwangu ni bia 4 mwisho
 
Post hii haswa inahusu nini ?

Umalaya ?
pombe ?
Ngono ?

Au hisia zako juu ya wanywa pombe?

au ulikua unacompare wanywa pombe na wasio kunywa pombe ?

Nasubiri jibu huku nakata kiroba
hahahahahaha day well spent
 
Post hii haswa inahusu nini ?

Umalaya ?
pombe ?
Ngono ?

Au hisia zako juu ya wanywa pombe?

au ulikua unacompare wanywa pombe na wasio kunywa pombe ?

Nasubiri jibu huku nakata kiroba

vyote vina mahusiano ya ukaribu nadhani umeelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom